Biashara ya kuuza asali kutoka kwenye matenki kama vituo vya kuuzia mafuta

Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,583
2,600
Wadau, mimi na mume wangu tuna idea ya kuanzisha shelli ya kuuza asali. Tutachimbia matenki chini na kufunga pampu kama wafanyavyo wa shelli za mafuta.

Naomba mwongozo: tutahitaji kuiona mamlaka gani kwa ajili ya kibali cha kuuza asali kwa utaratibu huu mpya?
 
Hapo itabidi mumuone mzee mizengo pinda mtoto wa mkulima
 
Mwisho wa mwaka huu sijui kuna nini...jana Mr Q kasema anataka kujenga jengo linalofanana na ikulu, anaomba utumshauri. Wewe leo unakuja unataka kujenga 'sheli' ya asali.

Kesho atakuja mtu anataka kujenga hospitali yenye baa na gesti ndani kwa ndani.

Tutawashauri nyote, msijali.
 
Ki idea ni rahisi lakini ku implement ni ngumu,

Asali inatabia ya tofauti katika Expansion and contraction, utahitaji heaters kipindi cha baridi laa sivyo asali haitoki.

Ni jambo linawezekana lakini, Kila la kheri!!!!
 
Wadau, mimi na mume wangu tuna idea ya kuanzisha shelli ya kuuza asali. Tutachimbia matenki chini na kufunga pampu kama wafanyavyo wa shelli za mafuta.

Naomba mwongozo: tutahitaji kuiona mamlaka gani kwa ajili ya kibali cha kuuza asali kwa utaratibu huu mpya?
Ni nini "sheli"?
 
Hapa kijiweni kuna jamaa anasema anataka kufungua salon ya kunyoa mazivu tu!
 
Ki idea ni rahisi lakini ku implement ni ngumu,

Asali inatabia ya tofauti katika Expansion and contraction, utahitaji heaters kipindi cha baridi laa sivyo asali haitoki.

Ni jambo linawezekana lakini, Kila la kheri!!!!
Wasiojua science hawataweza kukuelewa
 
Asante Moderator kwa kuboresha title ya thread yangu!!

Back
Top Bottom