Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 420
- 939
Nafasi ya Bank kuu ya kuregulate viwango vya riba kwa taasisi za kifedha inakuaje. Tunatambua bank kuu iko responsible nakupangilia viwango vya riba kwa bank zote za biashara. Kama sijakosea, miezi michache iliyopita bank kuu ilipunguza riba moka 17%.
Je..utararibu huu hauzihusu micro finances?
Nashukuru kwa majibu mazuri chief.
Naomba nikuulize swala la mwisho mkuu... kuna kitu kinaitwa hire purchasing, au asset financing. Kama wanachofanya hawa efta. Kutoa mikopo ya vitendea kazi, mashine na equipments.
Sheria hii itawalazimu pia kubadili jina la taasisi na kuwa na neno credit au financial services?
Nashukuru mkuu kwa ufafanuziKwa kuzingatia sheria ya mikopo kifungu cha 51 sehemu ya 56 Ukusanyaji wa madeni (1), ( 2) ukijumuisha na sera ya mikopo kuna taratibu zimewekwa ktk kumdai mdeni wako. Miongoni mwa taratibu ni
i. Kumpa notisi ya siku 14 mdeni wako juu ya kulipa deni baada ya hapo taratibu za kukusanya deni zitachukua mkondo wake
ii. Usimtishe, mtukane, kumwambia maneno mabaya, lugha chafu et al hadi no iv.
Sasa basi baada ya taratibu hizo kushindika utatakiwa kufuata sheria kukamata mali zake na ukifanikiwa ina maana utatangaza mnada wa hadhara juu ya uuzaji wa mali ambazo aliweka dhamana na sio kuziuza au kuchukua mwenyewe kinyemela.
Riba ni ile iwe reasonable.
(Wanasheria na debt collectors and auctioners twaomba waje kufafanua vema zaidi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua hizo regulations nimeweka copy ya regulations. Pia vema ukawa wacopy vifungu ili tuwaondoe mashaka wachangiaji wengine.kuna wakopeshaji binafsi wasiokuwa na mtaji wa milioni 20 na hawana makampuni, hawa wanachotakiwa ni kujisajili kama sole lending BOT ili watambulike kisheria kama mwongozo wa sheria za fedha unavyotaka. (soma tier 4 wanaostahili kujisajili)
Asante mkuu nitawatafuta muda sio mrefu tufanye jambo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mgawanyo Wa Tier Kwa Mujibu Wa Sheria Ndogo Ndogo Za Fedha. 1. Banking ( Capital Minimum 200m) 2. Microfinance( Capital mnm 20m) 3. Saccos ( Capital Minimum 5m) 4. Viccoba, Sole Lending ( Capital Below 5m)
Huo muongozo wa sheria ndogo ndogo za fedha tulipewa na maofisa wa BOT kwenye semina, sikusoma mitandaoni, mimi niko SACCOS, na walitumbia mtaji wetu ukikua tutavushwa daraja kutoka saccos kwenda microfinance, hizi sheria zilipitishwa na bunge kwa hati ya dharura, SACCOS tuko tier 3, tier 4 ndio kuna viccoba na sole lenders. na mpaka viccoba vinasajiliwa, tafuta sheria ndogo ndogo za fedha zilizopitishwa na bunge kwa hati ya dharura mwaka 1918.
Sheria hii hapo nimeiambatanisha ya masuala hayo ya mikopoView attachment The Microfinance Non Deposit Taking Microfinance Service Providers Regulations 2019 (3).pdf
Asante bossSheria hii hapo nimeiambatanisha ya masuala hayo ya mikopoView attachment 1394943
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio nikiwa na five million nakuwa sisaidiki....hatari sana