Biashara ya Kuku

Biashara ya Kuku

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Nataka niwe nauza kuku wa kienyeji natoa mikoani napeleka Dar es Salaam.
Sasa cjajua mikoa gani iliyo karibu naweza kupata hawa kuku na kwa bei gani. Nataka kuanza na kuku kama 200 hivi.
kwa mwenye uzoefu na hii biashara anijuze...
 
Singida na Bahi (Dodoma) nasikia kuku ni bei nafuu sana.
Mikoa ya jirani na Dar tayari wameshajanjaruka, hivyo bei za kuku ziko juu..
 
Back
Top Bottom