Biashara ya kuku wa mayai na masoko yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kuku wa mayai na masoko yake

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Dr wa ukweli, Jul 12, 2011.

 1. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nipo Dar nataka nianze biashara hii ya kuku wa mayai ila nataka kijana mtaalam mwenye uzoefu naweza mpata wap? na maeneo mazuri ya kuweka banda ni wap nina plot bagamoyo kma heka 2 na plot ya "20 kwa 30" Goba panafaa kujenga banda la kuku 2000? au wap naweza kupata plot ya kujenga banda la kuku? plot (2m - 3m)

  ujenzi wa banda la kuku wa mayai (kuku 2000) linagarimu kiasi gani cha fedha? mchoro stracture yake naweza ipata wap la kisasa na economical! ntashukuru kwa majibu yenu
   
 2. m

  mbojeinc Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiwa tayari ni PM kwa ajiri ya mchoro!!!
   
 3. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kuna banda la kukodi liko tayari,Pia eka moja ya kununua ni PM just now!
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  kuna mayai yanatoka mombasa kila siku kwa mafuso, je umejipanga ushindani?
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu mbona tunatishana??
   
 6. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Usiogope soko ni kubwa sana na bei zao zipo juu sana ukilinganisha na wewe ukizalisha mwenyewe mayai hapa
   
 7. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Dr wa ukweli ulifanikiwa kupata banda?
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  weka na siredi nyingine ya kutangaza nafasi ya kazi mkuu juu ya huyo kijana wa kuangalia hao kuku.............
   
 9. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ninayo sehemu kibaha na kigamboni kama utapreciate cal 0712212220
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati nilituma uzi nikauliza upatikanaji wa eneo la kukodi kwa ajili ya ufugaji kuku...... wadau wengi walikuwa na mawazo hasi hapa... ishu kubwa ni kukwepa mkataba kandamizi toka kwa unaekodi eneo lake.kuwa mwangalifu..
   
 11. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kweli bado tunakosa umakini humu JF. Yaani 60% ya majibu hayamsaidii huyu mheshimiwa. @ Dr wa ukweli kama hujafanikiwa ni-pm nikuelekeze kwa mtaalamu wa mambo ya kuplan hivi vi2.
   
 12. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,378
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  waone balton wana mabanda wameyatengeneza kabisa yanaweza kuweka mpaka kuku2500 watakuelekeza zaidi unahitaji mtu mmoja tu kuangalia banda
   
 13. brazakaka

  brazakaka Senior Member

  #13
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu naweza kupata contact zao hao jamaa wanaotengeza mabanda?
   
 14. n

  nemsong2005 Member

  #14
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je ni vitu gani vya msingi vinahaitajika iwapo nataka kufanya ufugaji wa kuku wa mayai
   
 15. A

  Albimany JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jenga banda/mabanda.Kila kuku mia(100 ) hula wastani wa laki tisa (900,000.MAX) kwa muda wa miezi mitano pamoja na matibabu.

  Baada ya miezi mitano kuku wataweza kujilisha wenyewe,muda wakutoa mayai utakua umewadia.

  Nakushauri ukianza usianze na wengi mia mbili au mia tatu nivizuri kwa kuanzia.
   
 16. O

  Obonyo Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini hapa Jamvini.
  Samahani, nikuwa nauliza kama kuna mtu anafahamu soko la mayai ya kuku wa kizungu kwenda nje ya Tanzania.
  Asanteni.
   
 17. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu hongera kw aujasilriamali.
  - MKUU KUNA VITU UNATAKIWA UVIWEKE SAWA.
  1.
  UNATAKA KUUZA NCHI IPI?
  2. JE NI NDANI YA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKI?
  3. Ni ndani ya jumuia ya SADC?
  4. Ni jumuia ya Ulaya?
  5. Na marekani?
  6. Ni mashariki ya kati?
  7. Una mayai kiasi gani? make wenzako wanaoingiza Tanzania mayai unkuta mtu ana kuku laki 5.
  8. Mkuu usije ukawa una kuku 100 halafu ndo unataka ku trade International

  -Mkuu ku trade international sio kitu rahisi kabisa,na kina hitaji mikakati mirefu sana na procedure za kufa mtu. mim nakushauri uza kwanza ndani ya Tanzania, soko la Tanzania likijaa ndo uanze kuangalia kwenda East Africa comunity.

  - Soko la ndani bado ni kubwa sana tatizo ni mikakati na mipango ndo hakuna. Watanzania tunapenda Biashara sana But ukimwambia mtu angalau awe anatenga hata 2% ya pato lake kwa ajili ya market research hamna mtu anae taka.

  - Mbona south Africa wanauza mayai Tanzania? Umeisha wafuata waagizaji wa mayai kutoka south africa na Kenya wakakwambia sababu za wao kuagiza nje ya nchi?

  - Mkuu kaa chini fanya tafiti kuhusu soko la ndani, naamni lipo tena kubwa sana.

  -
  KUUZA NJE YA NCHI MANAAKE NI KWAMBA WEWE SOKO LA NDANI UMEISHA SUPPLY HADI LIMEJAA SO UNATAKA KWENDA KUONGEZA SOKO NJE YA NCHI. MKUU WATU HAWAANZI TU PRODUCTION NA KUANZA KUUZA NJE YA NCHI. SOMA MAMBO YA INTERNATIUOINAL TRADE UTAELEWA ZAIDI
   
 18. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fuata ushauri wa komando hapo juu na mimi ntakupa offer ya tangazo kwenye blog yangu nadhani utafurahi na utaweza kutoboza
  check link hyo
  GSHAYO
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  asante mkuu nitakutumia info zangu kwa ajili ya Biashara na mimi nina biashara nataka kuitangaza
   
 20. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  poa kaka wewe ni pm tu
   
Loading...