Biashara ya kukopesha fedha ndogondogo mtaani

Bei poa stationery

New Member
Joined
Sep 24, 2026
Posts
3
Reaction score
4
Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze kufuatilia vibali. Asanteni
 
Kibali Kukodi cha mtu andaa millioni moja Kwa mwaka leseni bot manispaa uliopo tax clearance na tin namba..biashara ina hela sana ingawa ina risk kubwa
 
Asante kwa hints, mm tayari nina lesseni ya biashara lakn syo biashara ya kukopesha nilitaman nipate leseni ya kukopesha sjui ndyo kibali. Hcho cha kukodi kwa mtuu ndo nilikuwa nataka chakwangu. Afu risk kubwa kwa uzoefu wako ni zipi share kama inawezekana.
 
Kupata kibali inakuhitaji ue na atleast ml 20 kwenye akaunt yako uanze na brela kisha tra ndio uende bot na kwa sasa vbali vnachukua muda kutoka kutokana na sheria zilizoboreshwa ikiwa n prof za kuonyesha chanzo cha iyo pesa yako ni nn na wap.. mambo ni mengi kama ukipata wa kuingia nae makubaliano utumie leseni yake ni jambo jema.. Mim yakwangu nimepata mwaka huu mwanzoni
 
Asante vipi wewe uko wapi mm nipo dar tufanye biashara kama inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…