Biashara ya kujiuza mwili yapewa nafasi kubwa Tanzania

duh safi sana wacha na serikali ipate hela maana hawa wadada make alot of money balaa. plus hamna jipya hapo maana kama watu kukosa maadili tayari imeshaenea.
 



:boxing: :boxing:
 
Natumaini utakuwa wa kwanza kuonyesha mfano kwa kuwashauri dada zako wajiunge na biashara hii!! Au siyo!!!!!
 
inatungwa sheria ya kulinda haki zao mmezidi kudhulumu sana kwa kupenda kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…