Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,657
Malaya wapo kwa sababu wanaume malaya wapo. Yaani bidhaa huendelea kuwepo sokoni sababu ya wanunuzi wapoWatoto Wadogo Nao Wanakimbilia Huko Huoni Tunapoteza Vijana Wa Kesho Ambao Tunategemea Kuitumikia Jamii Yao.
Nmecheka jamani aahU.T.I ndo shida inapoanzia
Ukitoka hapo uoshe DUDU na Sprit mixer maji tililika
Kisha umeze CIPROFLOXACIN in ADVANCE
Ni fani ya zama za kale kuliko zingine!Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?
Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi ...serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe...View attachment 2884629
Na hii ni sababu wanunuzi wanaongezekaDah hii biashara Rate ya watoa huduma inazidi kuongezeka siku hadi siku
Unataka kununua UTI kwa nyama ya ng'ombe.Weka namba zao na price