Graduates wanafaa sana kujiajiri kwenye sekta ya kutapisha vyoo

Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.

Unaweza kutuambia una taaluma gani? Unaweza kupata ushauri wa kitu cha kufanya sawasawa na taaluma yako uliyosomea.

nnataaluma ya maswala ya community devt.
Kwa kuongzea... Kuna bwana mmoja pale BAKWATA(jirani na Hosteli za UDSM Mabibo) anafanya hii kitu.. anaiendesha vizuri naona watu wanaongezeka...atembelee ale ajifunze zaidi..Mbona kazi za kujiajiri kupitia taaluma hiyo ziko nyingi sana. Cha msingi usione aibu kabisa ktk kutimiza ndoto zako, pili usiogope kwenda mbali kutafuta fursa zaidi. Miji mingi midogo haina day care centers za kisasa kwa watoto wetu. Nenda ktk miji hiyo, waone Ustawi wa jamii wa mji/sehemu husika, peleka proposal yako ya malezi ya watoto saa za mchana, watakusajiri,anza kuwafundisha kwa hela kidogo sana huku ukiboresha mazingira ya center yako kwa kuweka vijuice, karanga kwa watoto nk.
Ukiona kijiwe kinachanganya, unaanza kuongeza huduma zingine(,sio bar tafadhali) kama twishen center nk. Kijiwe kikinoga,anzisha shule ya vidudu kabisa.
Kwa kuongzea... Kuna bwana mmoja pale BAKWATA(jirani na Hosteli za UDSM Mabibo) anafanya hii kitu.. anaiendesha vizuri naona watu wanaongezeka...atembelee ale ajifunze zaidi..
Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.

Kama uko moshi nakushauri uanze kilimo cha umwagiliaji,kinalipa sana kwa sasa..lima v2 ka nyanya,vi2nguu na mboga mboga.
Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.

kudariz ni kazi nzuri sana ,uache kutegemea wazazi. Pia jitahidi kujifunza kuendesha gari kama michongo haijakaa sawa