Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Na hapo ndipo utakapo jua kuwa within the country(i mean one country) hii biashara inakuwa ngumu sana sana.
Ndio maana yake !! Either uwe unacheza na border za neighbouring countries au uwe na bank accounts zenye hela za kutosha kwenye nchi kama 5 hivi alaf we umetulia zako office unacheza na internet banking ( Unatoa hela huku unapeleka kule, unatoa hela kule unaleta huku kama mchezo flan wa kitoto hivi Hahahaha ). Mwisho wa siku unavuta kitita chako cha hela swaafi kabisa.
#Thinking out loud.