Biashara ya kubadili Shilling kwa Dola

Biashara ya kubadili Shilling kwa Dola

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Habari za kwenu waungwana.

Nimeona nifuatilie ile ishu ya kubadilisha pesa za kibongo kwa dola, yani iko hivi, nataka niwe naangalia rate ya kununua na kuuza dola kwa benki zetu za hapa bongo, then pale nitakapoona rate ya kuchange shilling kwa dola iko chini, basi nabadili zile pesa kwa dola, na dola ikipanda nizichange tena kwa pesa ya bongo.

Hapo najua nitapata cha juu kidogo, but sina utaalamu na hayo mambo.

Kama nimeeleweka je kuna mwenye ufahamu na jambo hili?

Tafadhi tufahamishane jinsi ya kufanya.
 
Habari za kwenu waungwana, nimeona nifuatilie ile ishu ya kubadilisha pesa za kibongo kwa dola, yani iko hivi, nataka niwe naangalia rate ya kununua na kuuza dola kwa benki zetu za hapa bongo, then pale nitakapoona rate ya kuchange shilling kwa dola iko chini, basi nabadili zile pesa kwa dola, na dola ikipanda nizichange tena kwa pesa ya bongo, hapo najua nitapata cha juu kidogo, but sina utaalamu na hayo mambo, kama nimeeleweka je kuna mwenye ufahamu na jambo hili?? emb tufahamishane jinsi ya kufanya

boss hiyo kazi ni stressful kama haupo sharp na unatakiwa kuwa na decisionmaking ya haraka. Anyway nipm number yako.
 
duh!! kwanini ina stress?? nimeshakuPM my#
 
Wakuu tusidanganyane sana,hii biashara kwa nchi kama Tanzania,uwezi kupata faida!!Nakushahuri fanya biashara nyingine.
 
Hizi bureau di change pamoja na mabenki yapo ilikupata faida na sio hasara,kwa hiyo kuwa makini sana.
 
[TABLE="class: excel"]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"]Applicable Exchange Rates for 23rd January , 2014[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]6[/TH]
[TD] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]7[/TH]
[TD]CURRENCY[/TD]
[TD="align: center"]CODE[/TD]
[TD="align: center"]BUYING[/TD]
[TD="align: center"]SELLING
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]8[/TH]
[TD] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]9[/TH]
[TD]US$ 50-100 Units[/TD]
[TD="align: center"]USD[/TD]
[TD="align: center"]1,565.0000[/TD]
[TD="align: center"]1,675.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]10[/TH]
[TD]US$ 1-20 Units[/TD]
[TD="align: center"]USD[/TD]
[TD="align: center"]1,500.0000[/TD]
[TD="align: center"]1,675.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]11[/TH]
[TD]EURO100-500 Units[/TD]
[TD="align: center"]EUR[/TD]
[TD="align: center"]2,143.0000[/TD]
[TD="align: center"]2,243.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]12[/TH]
[TD]EURO 5-50 Units[/TD]
[TD="align: center"]EUR[/TD]
[TD="align: center"]2,068.0000[/TD]
[TD="align: center"]2,243.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]13[/TH]
[TD]POUND STG £ 20-50 Units[/TD]
[TD="align: center"]GBP[/TD]
[TD="align: center"]2,629.0000[/TD]
[TD="align: center"]2,729.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]14[/TH]
[TD]£ 1-10Units[/TD]
[TD="align: center"]GBP[/TD]
[TD="align: center"]2,554.0000[/TD]
[TD="align: center"]2,729.0000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]15[/TH]
[TD] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD="align: right"] [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=2]s of 22 January 2014[/h] [TABLE="class: tab2"]
[TR]
[TD="class: align_middle"]
Currency

[/TD]
[TD="class: align_middle"]Code
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
Selling
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight, colspan: 2"]
Buying
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD="colspan: 2"]
Cash
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
TT
[/TD]
[TD]
Cheques
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
TT
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
Cheques
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
Buying
[/TD]
[TD]
Selling
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]US Dollars (1-20 Units)
[/TD]
[TD]USD2
[/TD]
[TD]
1,657.67000​
[/TD]
[TD]
1,657.67000​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,577.67000​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,507.67000​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
1,507.67000​
[/TD]
[TD]
1,642.67000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]US Dollar (50-100 Units)
[/TD]
[TD]USD
[/TD]
[TD]
1,657.67000​
[/TD]
[TD]
1,657.67000​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,577.67000​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,507.67000​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
1,577.67000​
[/TD]
[TD]
1,642.67000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Euro
[/TD]
[TD]EUR
[/TD]
[TD]
2,256.72275​
[/TD]
[TD]
2,256.72275​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
2,121.75245​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
2,099.68389​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
2,099.68389​
[/TD]
[TD]
2,256.72275​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pound STG
[/TD]
[TD]GBP
[/TD]
[TD]
2,724.40492​
[/TD]
[TD]
2,724.40492​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
2,579.48158​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
2,547.63613​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
2,547.63613​
[/TD]
[TD]
2,724.40492​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Australian Dollars
[/TD]
[TD]AUD
[/TD]
[TD]
1,443.30810​
[/TD]
[TD]
1,443.30810​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,360.62228​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,342.57915​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
1,342.57915​
[/TD]
[TD]
1,443.30810​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Canadian Dollars
[/TD]
[TD]CAD
[/TD]
[TD]
1,489.88766​
[/TD]
[TD]
1,489.88766​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,415.52555​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
1,388.77870​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
1,388.77870​
[/TD]
[TD]
1,489.88766​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Danish Kroner
[/TD]
[TD]DKK
[/TD]
[TD]
299.69879​
[/TD]
[TD]
299.69879​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
275.98082​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
266.72459​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
266.72459​
[/TD]
[TD]
299.69879​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Norwegian Kroner
[/TD]
[TD]NOK
[/TD]
[TD]
265.98020​
[/TD]
[TD]
265.98020​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
246.03886​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
237.45902​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
237.45902​
[/TD]
[TD]
265.98020​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Swedish Kroner
[/TD]
[TD]SEK
[/TD]
[TD]
252.71552​
[/TD]
[TD]
252.71552​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
233.16062​
[/TD]
[TD="class: tab2_highlight"]
226.08250​
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
226.08250​
[/TD]
[TD]
252.7155

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hizo hapo juu ni exchange rate za CRDB NA NBC kwa mfano unanua US Dollar CRDB watakuuzia kwa 1675 then ukienda kuuza NBC watanunua hizo Dollar kwa 1507,hapo tayarai una loss ya 168 huo ni mfano mdogo tu!!Nitarudi tena kuna kazi namalizia kwa ofisi ili tuje kupeana hii elimu ya kuuza na kununua fedha za kigeni.
 
kama haina faida zingekuwa zimefungwa zilizopo badala yake zinaendelea kufunguliwa....

Nadhani aujanipata vizuri,wao kama bureau D change wanapata faida tena sana,mdau hapo juu kauliza kama anaweza kununua kwa mfano Dollar kutoka Bureau D change moja na kwenda kuuza sehemu nyingine,je atapata faida??Jibu ni kwamba sehemu kubwa atapata loss(hasara).
 
Haujamwelewa vizuri, hanunui na kuuza siku hiyohiyo, ananunua bei inapokuwa chini tu, anahold kisha ikipanda tu anauza. Hii biashara ni ngumu sana, inatakiwa uwe na vyanzo vya uhakika vya info, sehemu ya kununua kwa haraka na sehemu ya kuuza kwa haraka...kote huko uwe na watu wa uhakika! Kiufupi ni kwamba imegubikwa na giza, na watu ni wasiri sana wanapiga pesa kimyakimya ni ngumu kukupa za ndani mpaka wakujue. Waapo watu mjini ndiyo kazi zao, hawana hata ofisi lakini wanazungusha mizigo ya pesa. Mtu wa kawaida ukiingia kichwakichwa lazima ile kwako.
cc: g4cool
 
Last edited by a moderator:

NIMELOSA KITUFE CHA LIKE.... Invisible
 
Last edited by a moderator:
BUREAU DE CHANGE -EXCHANGE RATE

NAME USD POUND JAPAN YEN
BUY - SELL BUY- SELL BUY SELL

SAHARA 1615- 1625 2620- 2680
SUN CITY 1614 -1625 2600 - 2655
AL-FAYAD 1615 -1624 2640 - 2680

Tuangalie mifano ya Bareau De change hizo tatu ambazo zipo Dar Es Salaam:Hizo Qoutation ni Direct Qoute kwamba Foreign currency inakuwa fixed na Domestic currency inakuwa Variable (USD/TZS)

Ukienda kununua Dollar sahara watakuuzia kwa TZS 1625 alafu nenda kauze hizo dollar either sun city au al fayad.

Sun city watanunua hizo dollar zako kwa TZS 1614 na al fayad watanunua hizo dola kwa TZS 1615, tayari nazungumzia loss hapo(hasara).

Ndio maana nasema hii biashara ya kununua na kuuza pesa kwa nchi kama Tanzania bado sana,lakini kwa nchi kama Mexico,USA,Japan,China na UK hizo biashara zinafanyika,kwa sababu wao wanafanya online,wanacheza na soko online,sio hapa Bongo utoke bank moja then ukimbie hadi bank nyingine,ukifika kule unakuta zimebadilika,tayari ishakula kwako.

Narudia tena bank na Bareau De change wapo kwa ajili ya kutengeneza faida(profit) na sio hasara.

Siku moja kwa una laki moja(100,000) ambayo aina kazi nenda kabadilishe kuwa Dollar,kaa baada ya dakika 10,nenda kabadilishe tena kuwa Tanzania shs,uone maajabu autapata tena ile laki moja,bali utapata 99,000 au 99,500 lakini tayari ni pungufu hiyo,kama unamuda zaidi fanya huo mchezo kama mara kumi hivi(10) mwishoe utabakiwa na sifuri(0).
 
Haujamwelewa vizuri, hanunui na kuuza siku hiyohiyo, ananunua bei inapokuwa chini tu, anahold kisha ikipanda tu anauza. Hii biashara ni ngumu sana, inatakiwa uwe na vyanzo vya uhakika vya info, sehemu ya kununua kwa haraka na sehemu ya kuuza kwa haraka...kote huko uwe na watu wa uhakika! Kiufupi ni kwamba imegubikwa na giza, na watu ni wasiri sana wanapiga pesa kimyakimya ni ngumu kukupa za ndani mpaka wakujue. Waapo watu mjini ndiyo kazi zao, hawana hata ofisi lakini wanazungusha mizigo ya pesa. Mtu wa kawaida ukiingia kichwakichwa lazima ile kwako.
cc: g4cool

Mkuu nakushukuru kwa kukiri kuwa hii biashara ni ngumu sana,wachache sana wenye info kutoka BOT ndio wanaweza kufaidika na hii biashara.Yaani kwa kifupi kwa nchi kama Tanzania siyo rahisi kiivyo,( not practicable).
 
Kwa kifupi hapo, kama uko fiti unafungua bureau de cahnge yako ili uwe unanunua pesa direct kwa watu kwa bei ndogo na kuziuza kwa bei kubwa.
 
I think bureau de change ndo zina piga hela nafikiri lazima uwe na Kama 50m deposit kupata leseni sijui watu wengine wanaweza tupa info zaidi hii nafikiri ndio inaweza ku kulipa
 
kama haina faida zingekuwa zimefungwa zilizopo badala yake zinaendelea kufunguliwa....

Usd faida yake ktk change haizidi xana sh 10. Sasa wewe kama mtu binafsi sio office unaweza vumilia upate 15000 kwa mtaji wa zaidi ya m10?
 
Haujamwelewa vizuri, hanunui na kuuza siku hiyohiyo, ananunua bei inapokuwa chini tu, anahold kisha ikipanda tu anauza. Hii biashara ni ngumu sana, inatakiwa uwe na vyanzo vya uhakika vya info, sehemu ya kununua kwa haraka na sehemu ya kuuza kwa haraka...kote huko uwe na watu wa uhakika! Kiufupi ni kwamba imegubikwa na giza, na watu ni wasiri sana wanapiga pesa kimyakimya ni ngumu kukupa za ndani mpaka wakujue. Waapo watu mjini ndiyo kazi zao, hawana hata ofisi lakini wanazungusha mizigo ya pesa. Mtu wa kawaida ukiingia kichwakichwa lazima ile kwako.
cc: g4cool

Umesema kweli kabsa. Unajua kuna kamchezo flan kamejificha kwenye hii biashara na uki master vyema unapiga some serious money !! Ni biashara flan unatakiwa uwe umejipanga sana !! Ntatenga muda nikae niisome kwa umakini.
 
Hii kitu nilishajiuliza.
Nikagundua kuwa kwa Bongo humu humu ndani huwezi kupata faida.
Nikaona eti labda kama unaenda kuuza dollar (USD) nchi za nje (mfano South Africa) unapata Rands (ZAR) halafu unazileta Tz kuziuza.
Niligundua hivyo baada ya kuona nikibadili USD zangu hapa Tz na kuwa ktk Rands napata Rands chache ukilonganisha na nikizibadili USD kiasi kilikile huko bondeni (South Africa).

Mfano:
Exchange rate kwa Tz (TZS) ikiwa:
USD - BUY 1,600: SELL 1,625
RAND - BUY 1,85: SELL 200

Kwa South Africa (ZAR) ikiwa:
USD - BUY 9: SELL 11

Fastjet (go & return): Dar - Jo'burg: Takribani 500,000 Tshs
Reference: (https://www.jamiiforums.com/habari-...-mpya-ya-fastjet-from-tz-to-south-africa.html)

Kwa hiyo ukiwa na 48,750,000 Tsh unaweza kununua 30,000 USD (kwa bei ya 1,625 Tshs kwa kila 1 USD).
Unaenda kuziuza hizo 30,000 USD huko South Africa kwa Rands 270,000 (kwa bei ya 9 Rands kwa kila 1 USD)
Unarudi Tz ukiwa na hizo Rands 270,000 halafu unaziuza kwa 185 Tshs kila Rand, unapata 49,950,000 Tshs.

Ukitoa mtaji na gharama ya usafiri kwenda na kurudi unabaki na faida.
Faida ni: 49,950,000 - (48,750,000 + 500,000) = 700,000 kwa siku = 21,000,000 kwa mwezi.
Hata ukisafiri kwa nusu ya siku zote kwa mwezi, tuseme upate faida ya 10,000,000 Tshs kwa mwezi.

Lakini kumbuka:
(1)Kuna sheria na taratibu za kimataifa za kusafirisha pesa. Hapa nd'o palinichanganya kidogo, lkn ninaamini HAPA ND'O UFUNGUO WA HIYO BIASHARA ULIPOKAA (This may be the place where the right key for this business is hidden).
Reference: IATA - International Air Transport Association
(IATA - South Africa Customs, Currency & Airport Tax regulations details)
(2)Kuna madhara ya mionzi kwa wale wanasafiri kwa ndege mara kwa mara (Ionising radiation).
Reference: (ARPANSA - Cosmic radiation exposure when flying)
 
Duuuuh. Umetisha mkuu. Ndio maana nakwambia kuna watu through this business wanachota hela na viroba !! Kuna some secret codes behind this business which only a few elite know.
Ila what if mtu ukiwa na bank accounts katika nchi tofauti tofauti specially for running such a business ?? Will it work ??
 
Back
Top Bottom