Biashara ya kitunguu

mazoya3

Member
Oct 27, 2015
5
0
Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari

Eneo ni tarime mkoa wa mara.
Hecta 2 tuu.
Asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahanini sana wakuu kama nilivyo anza kueleza apo awali kitunguu hichi bado mda wa mavuno naomba radhi kwa usumbufu ila mwisho wa mwezi huu nitaleta kila kinacho itajika kukamilisha biashara hii

Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom