nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,485
- 11,172
NdioHiyo bei ni ile ya kukopeshwa ama?
NdioHiyo bei ni ile ya kukopeshwa ama?
Pia mkumbushe awe makini kwenye kulangua tumbaku kudhulumiwa ni nje nje na hakuna pa kumpeleka aliekudhulumu mtamalizana kimtaani mtaani tu. Lakini pia wakulima nao siku hizi wamejanjaruka mwaka jana "soko huria" kama sikosei kilo ilifika hadi 3500-4000 kwa grade za juu (L10F,L10,M10 etc) hapo bado haujanunua jafafa, cotton twine na haujahonga sokoni uuze vizuri.Mwezi WA 3,4,5 hapo MTU unaweza kulangua kwa wakulima kwa bei ya chini then ukaja kuiuza kwa mzungu sina hakika lkn nadhani kuanzia mwezi WA 7 kwa bei nzuri inaweza kudouble bei uliyonunulia. Angalizo lazima uwe na mwenyeji au mzoefu ili kununua grade nzuri ya tumbaku