kilimo cha tumbaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya kwa Wakulima wa tumbaku wilayani Urambo, Kampuni zinaumiza Wakulima

    Kwema! Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya sana, na wakulima wengi wanateseka. 1. Makampuni yanawakandamiza wakulima Makampuni kama MKWAWA LTD na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa?

    Wakuu habari za weekend, Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu huku nikiwa na mtoto, wazazi wanaotegema chochote kutoka kwangu. Sasa nataka kujikita kwenye kilimo...
Back
Top Bottom