Mwenye kuelewa jinsi ya kufanya mchakato wa kuanzisha hii biashara anitoe ujinga...
Nina computer sita, printer and location nimepata.
kuna uzi niliuweka humu jaribu kupekenyua unaeleza mchakato wa namna biashara hii inavyoweza kufanyika nashindwa kuweka link kwavile natumia simu
umeandikwa vipi niutafute mkuu?
mkuu mimi sikubaliani kabisa na wewe mtoa mada amesema ana computer 6 unamshauri afungue stationery hizo ni akili za wapi? unasema watu walipiga hela miaka ya 90 na wengine walifunga ni kweli teknolojia imekua kinachotakiwa ni mtoa mada kupata location nzuri na awe na ubunifu atapiga hela kuliko iyo miaka ya 90 na hao waliofunga unajua sababu? sasa computer 6 atatumia vip ktk stationery
I wish ningejua umli wako then nilinganishe na akili zako, any way the simple answer is anaweza fungua stationary either na computer hizo zote (Big stationary) sio lazima afanye biashara ya stationary ile iliyokichwani mwako ya Computer moja na printer moja. Mimi naongelea a big stationary itakayokua inamlipa zaidi. namna nyingine anaweza uza baadhi ya computer na kubaki na computer chache atakazohitaji pesa atakayoipata anunulie vifaa vingine vya stationary....THINK BIG Basat
Naona umebase kwenye stationery interest ya mtoa mada ni internet cafe kama anaweza afanye vyote kwa pamoja as vina-relate otherwise kila biashara hapo tatizo unafikiria hela za harakaharaka matokeo yake zikitokea challenge you can't face due to lack of creativity. I have been in this busness for 6 yrs wat can u tell me more.
Juzi nilikuwa ntakwenda kwenye Internet cafe ku scan ticket ili niitume kwa rafiki yangu,nilikutana na jamaa mmoja akaniambia hakuna haja ya Kwenda net maana alikuwa na Samsung s3,aliiscan na kuituma kwa simu,ni kweli teknolojia imepanuka sana demand ya Internet cafe si kubwa sana,ukilipia tsh 30000 airtel watakupa connection ya mwezi mzima kwenye simu,ipad au laptop yako,hivyo safari za Kwenda Internet cafe zinapungua
Juzi nilikuwa ntakwenda kwenye Internet cafe ku scan ticket ili niitume kwa rafiki yangu,nilikutana na jamaa mmoja akaniambia hakuna haja ya Kwenda net maana alikuwa na Samsung s3,aliiscan na kuituma kwa simu,ni kweli teknolojia imepanuka sana demand ya Internet cafe si kubwa sana,ukilipia tsh 30000 airtel watakupa connection ya mwezi mzima kwenye simu,ipad au laptop yako,hivyo safari za Kwenda Internet cafe zinapungua
Habari za siku nyingi wana jamii.
Naomba ushauri na mawazo yenu kuhusu mada hiyo hapo juu.
Jamaa wangu wa karibu aliyopo nyumbani Tanzania amewasiliana nami juu ya idea ya kuazisha internet cafe nyumbani na amenitaka ni invest katika mradi huo. Suali la uaminifu juu ya jamaa huyu ni zaidi ya 100% mwaminifu na sina shaka nae hata siku moja. Tatizo langu ni kuwa huko nyuma nilisoma kwenye internet kuwa huu mradi umeshuka sana hasa hasa katika nchi za afrika kwa sababu ya matumizi makubwa ya mobiles internet pamoja na matumizi ya internet za bure maofisini.
suali langu kwenu ni jee ni kweli idadi ya internet cafee Tanzania imeshuka? Je ni wangapi hapa wanaotumia na kutegemea internet cafe kuliko mobile internet na internet za bure makazini? Jee huu mradi bado una market nyumbani?
Thanks