Biashara ya ice cream na mtaji wa tsh milioni 4

Biashara ya ice cream na mtaji wa tsh milioni 4

chanika moja

Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
80
Reaction score
29
Habarini za mchana ndugu zangu Wana jamvi.

Ninaomba msaada wa kupata uzoefu na mahitaji yanayo takiwa katika kuanzishia biashara ya Ice cream zenye ubora kwa mtaji wa TSH milioni 4.

Nilipo nipo maeneo ya Wilayani ambalo shule ni nyingi zahanati, masoko, na stendi za magari.
 
habarini za mchana ndugu zangu Wana jamvi.

Ninaomba msaada wa kupata uzoefu na mahitaji yanayo takiwa katika kuanzishia biashara ya Ice cream zenye ubora kwa mtaji wa TSH milioni 4 .

Nilipo nipo maeneo ya Wilayani ambalo shule ni nyingi zahanati, masoko, na stendi za magari.
Usisahau jenereta
 
Mkuu kama bado unatengeneza ice cream naomba nije uwe unaniuzia kwa jumla.
 
Back
Top Bottom