Biashara ya Hardware kwa 13M

Biashara ya Hardware kwa 13M

Biashara yangu ina 2yrs, haijaanza hata kujiendesha yenyewe.
Ingia ucheze ngoma ndio utajua utamu wake. Wachana na kusimuliwa story za Vijiweni
This is so discouraging mkuu. Miaka miwili bila kuweza kujisimamia kuna kitu hakiko sawa fikiri tena au badili biashara.
 
Kosa kubwa kibiashara ni kuanza kua na matarajio ya kukunja faida hata Kabla mradi haujaanza
 
Kwa mil 13 ni mtaji mdogo Sana Kwa kuanzisha hardware,

ukishanunua bidhaa ukaweka dukani, ndo utajua ukubwa WA biashara uliyoamua kuizamishia mil 13 Yako.

Kwa Ushauri:
KWA MTAJI WA MIL 13, USIJIPIGIE KABISA MAHESABU YA FAIDA, APO UTAKUA UNAUZA NA KUNUNUA ili KUJAZA TU DUKA.
 
Aki anza na material ya plumbing ana weza kupiga hatua
 
Aisee, Fanya upembuzi yakinifu kwanza usike ukaenda na matarajio makubwa halafu ukazama.

Biashara zenye faida kubwa ni zile zenye risk kubwa, ukiweza kuibeba hiyo risk lazima utoboe na hiyo 13m ndani ya miezi 6 tu.
Mfano cocaine ya 13m ukiifikisha SA itakupa 13m on the spot, ukipigiga trip 2 monthly unakuwa na 42m, ukininunua milaa ya 13m kutoka Kenya ukaimwaga Kariakoo hapo ndani ya miezi 6 unakuwa uko mbali sana, ukitoa bhangi Arusha au Moro ukaileta Dar ndani ya miezi sita unakuwa don.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,

Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara,
Lengo nataka niwe nakunja japo 3M as profit ili niweze panua biashara,

Vipi wakuu natoboa au,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya hardware
Toka njoo Njombe ujifunzs kwa wakenya na wabongo wanauz parachichi ulaya
 
Aki anza na material ya plumbing ana weza kupiga hatua
Plumbing Zina faida, Ila Utokaji wake ni mdogo mdgo Sana, lazima umix na bidhaa nyingine fastmoving ili update faida, itakayokuwezesha Kujaza bidhaa nyngn dukn
 
Plumbing Zina faida, Ila Utokaji wake ni mdogo mdgo Sana, lazima umix na bidhaa nyingine fastmoving ili update faida, itakayokuwezesha Kujaza bidhaa nyngn dukn
Utokaje wake ni mkubwa sana shida ni wengi wauzaji wanataka faida kubwa fundi ana angalia wapi kuna afadhali kumbuka kariakoo pact ya elbow ips za nusu inch zina kaa 50 ina uzwa 12,000 mtaani elbow ina uzwa 1000 maana yake ni 50,000 kwa pact moja ukitoa elfu 12 ya kununua ina baki elfu 38,000 ukitoa 5,000 ya usafiri ina baki elfu 33,000 ndio faida.Kwa mtu anayetaka faida kubwa hii biashara ya plumbing kwake itakuwa ngumu lakini akiuza 500 badala ya 1000 basi atapiga hela
 
Back
Top Bottom