Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,258
- 2,736
Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki ya mizigo)ambalo bei yake ni rahisi?
Wazoefu karibuni....
Wazoefu karibuni....