Bwenyenye254
Member
- Mar 13, 2021
- 53
- 86
Mkuu Hongera.Tatizo jf siku hizi imekuwa shamba la bibi,,,, mtu unaweza kukaa chini ukajitungia kitu ukakileta hapa watu wakaumiza kichwa kutiririka maujanja na mawazo kumbe chai ! Non sense,,,,
Na mtu unaweza kuwa na jambo serious kweli unahitaji kujua ABC zake lakini watu wakafanya mizaha wakidhani ni Chai vile vile ,,,,, !
Anyway, swali langu ni , je kama unazoefu na hii biashara nchi nyingine mbona maswali yako yamekaa kama hujawahi kabisa kujihusisha na hiki kitu ? Alamsiki
They were not informal markets like in Tanzania. Hope that answers your questionTatizo jf siku hizi imekuwa shamba la bibi,,,, mtu unaweza kukaa chini ukajitungia kitu ukakileta hapa watu wakaumiza kichwa kutiririka maujanja na mawazo kumbe chai ! Non sense,,,,
Na mtu unaweza kuwa na jambo serious kweli unahitaji kujua ABC zake lakini watu wakafanya mizaha wakidhani ni Chai vile vile ,,,,, !
Anyway, swali langu ni , je kama unazoefu na hii biashara nchi nyingine mbona maswali yako yamekaa kama hujawahi kabisa kujihusisha na hiki kitu ? Alamsiki
Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za Kitanzania, na lengo langu kuu ni kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo kwa kiasi kikubwa kila siku.