liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,380
- 1,627
Je umepata mwanga? Mwakani nataka niingieHabari,
Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
Je umepata mwanga? Mwakani nataka niingieHabari,
Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
Sijawai kuifanya.
Wataalam wakiwa wapgan,, wanaweza mpa rudio lisilo na maokoto,, anajikuta katunza mtaji tu, faida kiduchu.Tafuta mtaalam ununua marudio yenye PPM kubwa pelekea plant, then Elution.
Je umepata mwanga? Mwakani nataka niingie
Wataalam wakiwa wapgan,, wanaweza mpa rudio lisilo na maokoto,, anajikuta katunza mtaji tu, faida kiduchu.
Shimo lako likiwa linatoa utafurai, mana watu watakugombania,,What if!
Nikiwa na shimo langu, mchimbaji akaingia kuchimba tukagawana mifuko.
Na mchimbaji aliechimba akajakusaga kwenye mashine yangu pia!!
Nikatunza lundo langu kwa 5-6months
Nikaingiza plant?
Hapo sipati kitu?
Shimo lako likiwa linatoa utafurai, mana watu watakugombania,,
Ila sasa uko tayar kukesha hapo?
Au uweke mashushu wawe wanakupa habari,,
Kuna wale wanamiliki shimo alafu anakaa town,, anawalisha wachimbaj, ananunua vifaa local vya kuchimbia,, wanakulaga hasara
Kumbe uko na watu tayar,, hapo sawa ingia kiongozi,, mm nlijua hujui chochote😂,,Mwanga ninao mkuu, ila hapa natafuta mwanga zaidi. Vile vile ninakaka zangu wapo huko chunya kitambo sana!! Na walianza bila mtaji ila kwa sasa hela wanayo na ninaona
Kikubwa walichoniambia ni kutafuta mtaji angalau 25m, nimeshaipata hela nipo najitaarisha kwenda huko
Kumbe uko na watu tayar,, hapo sawa ingia kiongozi,, mm nlijua hujui chochote,,
Shimo kutema inaweza kuchukua hata miez 2 hadi 6,, inategemea na mwamba uko mbali au karibu wa dhahabu,,Nipo tayari kaka, kukesha sio issue kama faida inaonekana
Unajua gharama za kuanzisha shimo?
Shimo kutema inaweza kuchukua hata miez 2 hadi 6,, inategemea na mwamba uko mbali au karibu wa dhahabu,,
Gharama za shimo inategemea na eneo husika,, au kuna ile kumvua mtu shimo,, ila nzuri kuanza mwenyewe,
🤣Ya mganga na chimbo unayo
Wachek wenyeji wako watakupa mwongozo mzuri,, na kwa kuwa unaanza huenda wakakushauri usianze na shimo hadi pale utakapopata udhoefu,,Estimation za gharama ni Zipi? Mimi nitakua huko chunya
Yeye anachukua sample ya mchanga kutoka maaneo mbali mbali ya rudio. Then anaenda kupima kwenye maabara anayoijua yeye apate matokeo ya Ppm.Wataalam wakiwa wapgan,, wanaweza mpa rudio lisilo na maokoto,, anajikuta katunza mtaji tu, faida kiduchu.
Waulize hao Kaka zakoMwanga ninao mkuu, ila hapa natafuta mwanga zaidi. Vile vile ninakaka zangu wapo huko chunya kitambo sana!! Na walianza bila mtaji ila kwa sasa hela wanayo na ninaona
Kikubwa walichoniambia ni kutafuta mtaji angalau 25m, nimeshaipata hela nipo najitaarisha kwenda huko
Mkuu dhahabu ni adhabu.kupata faida ni mpaka uwe mafia haswa.ukiwa na uruma hutoboiii.ni biashara inayojumuisha uhuni wote uujuawo.kuuziwa vipande vya kufuli ni dakika.na wakikudhamiria ata exsost ya kwenye ndege utauziwa.acha wale wanaokamatisha kwa meqyuri.alafu ndani wanaweka gololi au jiwe.Ameshindwa kabla hata hajaanza. Kweli hili ni jabu jingine. Mtaji wa kwanza na muhimu mno wa kufanya biashara ya dhahabu ni knowledge yako kwenye huu ujasiriamali. Hata ukiwa na bilioni kumi kama huna utaalam zitaisha. Hivyo basi jambo la kwanza kama ulivyomshauri ni yeye kwenda kwenye field na ku-experience kila kitu kinachofanyika. Aende na wala asimwambie mtu yoyote kuwa ana mpango au mtaji wa kufanya biashara. Hata ikibidi afanye ukibarua au aanzishe biashara kwenye maeneo ya mgodi ili apate ujuzi.
Ulishawahi iufanya hiyo biashara? Au unaandika kwa uzoefu wa kijiweni!?Awe tayari kumpigq mtu risasi
Awe tayari kumnyofoa mtu mbupu.
Awe tayari kwenda kwa kalumanzila
Yaani awe tayari kwa mambo yoye meusi ndio faida kubwa aione azawaiz apate faida chache au apigwe za uso
Faida ni kidogo hiyo ni kiasi gani kwa gram?Kabla ya kujingiza kwenye hiyo biashar.kwanza Uijue.zunguka kwenye machimbo ya dhahab uifaham na ujenge uzoefu pia.yan hiyo m 25.kuichoma ni ,madakika.so mkuu fanya utafit wa kinadharia kwanza pasipo kitumia kias kikubwa cha hela..angalizo faida ni kidgo sana sio kama inavyoaminishwa.na ili upate faida kubwa itakulazm uwe mafia