Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa 25M

Sijawai kuifanya.

What if!
Nikiwa na shimo langu, mchimbaji akaingia kuchimba tukagawana mifuko.

Na mchimbaji aliechimba akajakusaga kwenye mashine yangu pia!!

Nikatunza lundo langu kwa 5-6months

Nikaingiza plant?

Hapo sipati kitu?
 
Je umepata mwanga? Mwakani nataka niingie

Mwanga ninao mkuu, ila hapa natafuta mwanga zaidi. Vile vile ninakaka zangu wapo huko chunya kitambo sana!! Na walianza bila mtaji ila kwa sasa hela wanayo na ninaona

Kikubwa walichoniambia ni kutafuta mtaji angalau 25m, nimeshaipata hela nipo najitaarisha kwenda huko
 
Wataalam wakiwa wapgan,, wanaweza mpa rudio lisilo na maokoto,, anajikuta katunza mtaji tu, faida kiduchu.

Kutunza mtaji nayo ni faida, hapo unakua umepata faida ya experience!!
Na sishauri mtu kununua rudio kupitia utaalam wa mtu usiemjua vizuri….utapotea
 
What if!
Nikiwa na shimo langu, mchimbaji akaingia kuchimba tukagawana mifuko.

Na mchimbaji aliechimba akajakusaga kwenye mashine yangu pia!!

Nikatunza lundo langu kwa 5-6months

Nikaingiza plant?

Hapo sipati kitu?
Shimo lako likiwa linatoa utafurai, mana watu watakugombania,,

Ila sasa uko tayar kukesha hapo?
Au uweke mashushu wawe wanakupa habari,,

Kuna wale wanamiliki shimo alafu anakaa town,, anawalisha wachimbaj, ananunua vifaa local vya kuchimbia,, wanakulaga hasara
 
Nipo tayari kaka, kukesha sio issue kama faida inaonekana

Unajua gharama za kuanzisha shimo?
 
Mwanga ninao mkuu, ila hapa natafuta mwanga zaidi. Vile vile ninakaka zangu wapo huko chunya kitambo sana!! Na walianza bila mtaji ila kwa sasa hela wanayo na ninaona

Kikubwa walichoniambia ni kutafuta mtaji angalau 25m, nimeshaipata hela nipo najitaarisha kwenda huko
Kumbe uko na watu tayar,, hapo sawa ingia kiongozi,, mm nlijua hujui chochote😂,,
 
Nipo tayari kaka, kukesha sio issue kama faida inaonekana

Unajua gharama za kuanzisha shimo?
Shimo kutema inaweza kuchukua hata miez 2 hadi 6,, inategemea na mwamba uko mbali au karibu wa dhahabu,,
Gharama za shimo inategemea na eneo husika,, au kuna ile kumvua mtu shimo,, ila nzuri kuanza mwenyewe,
 
Estimation za gharama ni Zipi? Mimi nitakua huko chunya
 
Mwanga ninao mkuu, ila hapa natafuta mwanga zaidi. Vile vile ninakaka zangu wapo huko chunya kitambo sana!! Na walianza bila mtaji ila kwa sasa hela wanayo na ninaona

Kikubwa walichoniambia ni kutafuta mtaji angalau 25m, nimeshaipata hela nipo najitaarisha kwenda huko
Waulize hao Kaka zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshindwa kabla hata hajaanza. Kweli hili ni jabu jingine. Mtaji wa kwanza na muhimu mno wa kufanya biashara ya dhahabu ni knowledge yako kwenye huu ujasiriamali. Hata ukiwa na bilioni kumi kama huna utaalam zitaisha. Hivyo basi jambo la kwanza kama ulivyomshauri ni yeye kwenda kwenye field na ku-experience kila kitu kinachofanyika. Aende na wala asimwambie mtu yoyote kuwa ana mpango au mtaji wa kufanya biashara. Hata ikibidi afanye ukibarua au aanzishe biashara kwenye maeneo ya mgodi ili apate ujuzi.
Mkuu dhahabu ni adhabu.kupata faida ni mpaka uwe mafia haswa.ukiwa na uruma hutoboiii.ni biashara inayojumuisha uhuni wote uujuawo.kuuziwa vipande vya kufuli ni dakika.na wakikudhamiria ata exsost ya kwenye ndege utauziwa.acha wale wanaokamatisha kwa meqyuri.alafu ndani wanaweka gololi au jiwe.
 
Simkatish tamaa mpambanaj mwenzetu ila nampa taadhari tu.pia asiingie akiwa na matarajio makubwa sana.aanze na mtaj mdgo atlist m.3
 
Awe tayari kumpigq mtu risasi

Awe tayari kumnyofoa mtu mbupu.
Awe tayari kwenda kwa kalumanzila

Yaani awe tayari kwa mambo yoye meusi ndio faida kubwa aione azawaiz apate faida chache au apigwe za uso
Ulishawahi iufanya hiyo biashara? Au unaandika kwa uzoefu wa kijiweni!?
 
Kabla ya kujingiza kwenye hiyo biashar.kwanza Uijue.zunguka kwenye machimbo ya dhahab uifaham na ujenge uzoefu pia.yan hiyo m 25.kuichoma ni ,madakika.so mkuu fanya utafit wa kinadharia kwanza pasipo kitumia kias kikubwa cha hela..angalizo faida ni kidgo sana sio kama inavyoaminishwa.na ili upate faida kubwa itakulazm uwe mafia
Faida ni kidogo hiyo ni kiasi gani kwa gram?
 
Back
Top Bottom