Biashara ya Dagaa Wa kukaanga Wa mwanza

Biashara ya Dagaa Wa kukaanga Wa mwanza

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
547
Reaction score
757
Nauza Dagaa waliokaangwa Wa kwanza.
Sifa zake:
1. Wameshakaangwa tayari
2.hawana mchanga
Hawa ni wazuri Kwa wale wanaopenda Dagaa lakini wanaona shida kuwaandaa,hawa hutapata shida unaweza osha au usioshe na ukaunga mojakwa moja
Kwa wale wakaka ambao hawajaoa au wanachuo watawafaa sana maana unaweza kupika ugali ukaandaa kachumbari au pilipili na Dagaa wako ukawapasha tu siku ikawa imepita hivyo

Kwa pakti nauza 1,000-rejareja
". 750 -jumla kuanzia pakti 50
Ndoo kubwa nauza-60,000

Hii ni fursa pia Kwa wanavyuo mtu unaweza kununua pakti zako ukauza chuoni
Bei ni ndani ya dar,walioko mkoani itaongezeka sababu ya usafiri.

Karibuni sana tulijenge taifa na tusaidiane kuondoa makali ya kiuchumi
 
Hongera sana mkuu. Biashara kiukweli huwa inataka moyo sana ila cha kutia moyo ni kwamba hakuna biashara utakayoianza na kukosa mteja hata mmoja, hivyo vuta subira waungwana watakutafuta boss.
 
Nashukuru Kwa kunitia moyo
Mpambanaji anapambana
Wanaolalamika hakuna ajira wacha waendelee kulalamika
 
Nauza Dagaa waliokaangwa Wa kwanza.
Sifa zake:
1. Wameshakaangwa tayari
2.hawana mchanga
Hawa ni wazuri Kwa wale wanaopenda Dagaa lakini wanaona shida kuwaandaa,hawa hutapata shida unaweza osha au usioshe na ukaunga mojakwa moja
Kwa wale wakaka ambao hawajaoa au wanachuo watawafaa sana maana unaweza kupika ugali ukaandaa kachumbari au pilipili na Dagaa wako ukawapasha tu siku ikawa imepita hivyo

Kwa pakti nauza 1,000-rejareja
". 750 -jumla kuanzia pakti 50
Ndoo kubwa nauza-60,000

Hii ni fursa pia Kwa wanavyuo mtu unaweza kununua pakti zako ukauza chuoni
Bei ni ndani ya dar,walioko mkoani itaongezeka sababu ya usafiri.

Karibuni sana tulijenge taifa na tusaidiane kuondoa makali ya kiuchumi
Hongera sana Mjasiriamali
 
Biashara Kwa nini nisiweze ,naleta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom