wa zion
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 223
- 486
Hello! nauza dagaa wa mwanza wale wasio na michanga kwa elfu 5000 sado moja, na wale wa kukaanga kwa 17000 sado moja. Nitakua nikituma mzigo jumamosi Dar kama utahitaji unaweza kunipa order.
Kwa Dar kuchangia nauli ni 1500 tu. Ukihitaji tafadhali ni DM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Dar kuchangia nauli ni 1500 tu. Ukihitaji tafadhali ni DM
Sent using Jamii Forums mobile app