BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

Special hires now days zimetembelewa na watu na akili nyingi. Mjini watu hawapendi bugudha, k/koo unapata wateja wa level siti wanaenda salasala, kila mmoja anakupa 60k for 6days. Gari ina ruti asubuhi na jioni tu X25 level cct. Tunaongelea 6M/ month. Ukitoa mafuta na service za hapa na pale unajijenga.
 
Binafsi kupanga ni kuchagua,hakuna biashara isiyo na risk zake. Coaster inalipa be it special hire au kawaida ili mradi una usimamizi mzuri.Kwa mwanzo tafuta uzoefu na taarifa vizuri juu ya hii biashara. Najua inalipa ndio maana watu wanafanya.Kwa mwanzo weka Comprehensive Insurance kama una wasiwasi na uwekezaji wako wakati ukisoma ramani.Wengi humu JF ni Dream crushers.
 
Back
Top Bottom