Biashara ya chuma chakavu

intro

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
306
325
Wadau nataka kufanya hii biashara.Nasikia inalipa kweli.
Nimeanza kuokota vyuma kama hivi.

Naomba ushauri wa soko.
Natanguliza shukran.

1471013413338.jpg
 
Hizo tunauza hapa mpakani kwa bei ya jumla... Msumbiji ziko nyingi sana... Njoo chukua
 
Back
Top Bottom