Biashara ya chuma chakavu

Biashara ya chuma chakavu

intro

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
308
Reaction score
328
Wadau nataka kufanya hii biashara.Nasikia inalipa kweli.
Nimeanza kuokota vyuma kama hivi.

Naomba ushauri wa soko.
Natanguliza shukran.

1471013413338.jpg
 
Wapelekee pale ngome huwa wananunua vyuma hivyo kwa bei nzuri tu......
 
Hizo tunauza hapa mpakani kwa bei ya jumla... Msumbiji ziko nyingi sana... Njoo chukua
 
Nina madini ya vyakula chuma ya chuma soko lake lake?
 
Back
Top Bottom