Biashara ya BOOKSHOP

aisee ahsanteni kwa maoni.. mimi naona huyu jamaa anaweza kufanya static and mobile bookshop nikiwa na maana kwamba unakuwa na bookshop somewhere.. then wakati mwingine unaenda kwenye maeneo yenye mkusanyiko wa watu wengi ku-market bookshop na kuuza vitabu!! what do u think guyz!!

Ni wazo zuri, Ila mi nnavuojua wanafunzi wengi wa chuo, A-level & wananchi wengi wakawaida wanapenda kusoma na sio kununua vitabu ili wakasome! Nnadhan wazo la Library ni bora zaidi kwasababu
1. Vitabu vinakua fixed hauna haja ya kuagiza mara kwa mara.
2. Library inakua easy to be accessed na watu wote wa rika zote wenye vipato tofauti.
3. Ukumbuke kuwa vitabu tunaazimishana sana.. Na hakiishi/kuchakaa ndani ya muda mfupi hivyo ukishauza kwa mzunguko wa kwanza itabidi usubirie mwaka mzima kuweza kuzunguka tena (in a case of mobile shop). Library wanavisoma kisha wanaviacha.
 
out of curiosity ... is there any private library in Tanzania....?

incredible......how viable is a private library business in Tanzania .. how can yo control and make profit ...?

i suppose that it should be run by a non profit organization which highly depends on donors , well wishers and education stakeholders
 
Kwani huwezi kuanzisha private library kwa sababu hakuna mtu aliyeanzisha??..
As an entrepreneur u should be able to innovate new ideas... Bookshop zipo kibao town.. and demand of the products they provide is low!
By The way: kuna library nnazozifahamu zisizo za serikali!...
 
je library hizi ni za kibiashara na ni profitable ....?

market niche is the best value for entrepreneurs ..... it establish customers
 
Sifahamu kama zinawaingizia faida ama la!..

market niche is the best value for entrepreneurs ..... it establish customers
I doubt that, I think market niche is the best way for an entrepreneur to target & understand his/her customers....
I don't like the word 'establish'
 
ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu, ndio maana hata vitatbu vingi vinatoka marekani na ulaya. Afrika watu hawana utamaduni wa kusoma vitabu. So kama kweli ameipenda biashara ya vitabu nadhani atafute eneo jingine lakini sio afrika coz haitamlipa...kusoma vitabu tunahitaji angalau miongo 6 hivi... watanzania ni walimbukeni wa electronics, mwambie afikiri kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom