kasambalakk
Senior Member
- Apr 2, 2011
- 126
- 17
Wana JF,
Sikuwahi kudhani hapo nyuma kama bodaboda inaweza kutajirisha mtu kwa kumtengenezea mpaka Tshs 3 millioni kwa mwezi (other factors remain constant) kwa kuanza na bodaboda moja tu!
Imagine umenunua bodaboda MPYA aina ya Boxer (pamoja na gharama zingine kama insurance nk) kwa Tshs 1.7 million.
Kwa hapa Dar, kila siku bodaboda inaingiza Tshs. 10,000 (kama umeajiri dereva akupigie kazi). Hivyo kwa wiki unapata Tshs. 70,000 ambayo kwa mwezi ni Tshs 280,000 Net.
Kwa mapato hayo ya mwezi, itakuchukua takribani miezi 6 kurudisha mtaji wako wote. Hivyo kuna option 2, kuuza bodaboda na kuongeza fedha kidogo ili upate zingine mbili, au kuendelea kubaki nayo kwa miezi mingine 6 ili ununue nyingine na ziwe 3.
Hii maana yake ni kwamba, ndani ya mwaka (if other factors are constant) unaweza kuanza na bodaboda moja na kuufunga mwaka na bodaboda 3!
Unaweza kufanya hesabu ili kupata mapato ya mwezi kwa bodaboda 3. Hivyo kama mambo yataendelea vizuri, kuna uwezekano ndani ya miaka 3 kuwa na boda zaidi ya 10 na kufanya pato la mwezi kuwaTshs 2. 8 millioni.
Kulikuwa na thread moja ya biashara ya bajaji, itafute itakusaidia majibu ya swali la pili na 3.
<br />asante husninyo lakni nimeingia kwenye business forum lakni mambo cjayaona ndio maana nikauliza ndugu
<br />
<br />
ukishajua bei ya manunuzi ya boda boda nitakushauri jambo.
kaka nimeshajua bei yake inaanza 1.3 to 1.5 million....
Tulishapita huko mkuu na tulipga sana hizo mathematics kabla hatujawakabidhi hawa vijana bodaboda!
Sipendi kukukatisha tamaa ila ukitaka kuwezana nao ingia nae mkataba na umkabidhi hiyo bodaboda kama yake kwa dhamana maalum ndani ya miezi 10 tu daily akuletee Tsh10k. Akifuzu huo mtihani muachie iwe yake. Na ili ufanikishe mambo yako anza na pikipiki3 mpaka5 ili ikitokea mmoja kazingua usiumie sana roho.
All in all ugopa kuletewa kipande utabuluzwa na huyo chalii vibaya sana uichukie bodaboda na biashara yenyewe.
Wana JF,
Sikuwahi kudhani hapo nyuma kama bodaboda inaweza kutajirisha mtu kwa kumtengenezea mpaka Tshs 3 millioni kwa mwezi (other factors remain constant) kwa kuanza na bodaboda moja tu!
Imagine umenunua bodaboda MPYA aina ya Boxer (pamoja na gharama zingine kama insurance nk) kwa Tshs 1.7 million.
Je bajaji wakuu hesabu zake vipi?yani kuna jamaa yangu aliingia na hizo assumptions kilichomkuta mpaka leo hana hamu na boda boda!!