Kikubwa Pumzi
Member
- Jul 25, 2025
- 52
- 97
Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi.
Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani?
Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi?
Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi biashara yao?
Wanaobeba makontena empty wakiyapeleka bandari haswa kule TICS au adani wanamuuzia nani?
Na hizi icd wanapataje pesa mfano wanachaji nini na nini?
Kuna huduma gani mle bandari unaweza kuzitoa na ukapata hela?
Nauliza haya maswali sababu nimeshaingiw bandari lakini watu walio mule hawajui lolote kuhusu business inavyofanyika yani unauliza mtu yupo getini anachojua ni kukagua gari tu na seal basi.