Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

Mete

Member
Joined
May 19, 2021
Posts
42
Reaction score
61
1623135484077.png

Hallo my friend

I want to ask. Hivi biashara ya bar inalipa Dar es salaam?

Nataka kuweka bar Dar es salaam. But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza.

Sasa sijui kama inalipa vile.
 
Location ni muhimu sana.
Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma.

Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.
 
Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma. Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.

Sasa ao waminifu sindo shida kweli
 
Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma. Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.

Nita sajili kila kitu kwenye serekali
 
Back
Top Bottom