Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Sio mbaya kwa kuanzia.
OK.Nita ikuza kila baada ya wiki moja mpaka itakapo fikia 10 milioni
Kusajili kwenye serikali inazuia vipi msimamizi asie muaminifu kukuibia kwa kukudanganya kwenye mauzo? Au kwa kuuza mzigo wake wa vinywaji na kuacha mzigo wako ukidoda?Nita sajili kila kitu kwenye serekali
Hatari sana mzee, Shida ni pale bosi anapokuwa malaya, wakishajua kuwa wote wanamegwa na bosi....umakini hutoweka.Kuwe na mademu wazuri na wabadilishe baada ya muda fulani.......dar walevi wanafata totoz pia wakishazichoka wanahamia kwenye toto mpya
Daah,unampa shavu jamaa akusaidie na yeye atoke kimaisha,anakuangusha.Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma. Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.
Biashara ndogo ndogo usipokuwepo ni tatizo.Hallo my friend
I want to ask
Hivi biashara ya bar inalipa dar es salaam?
Nataka kuweka bar dar es salaam
But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza
Sasa sijui kama inalipa vile
Mkuu wewe ni mwenyeji wa mkoa wa MaraNaomba unitafute on messenger my name is redy Dasca ili tuongeye mengi kama auto jali
Inalipa sana kama utapata sehemu nzuri ila usimamizi wake sio wa kitoto ni pasua kichwa tena kama upo mbali ndio balaa kabisa!!mimi naifanya, ila kwa kupambana kweli kweli.Hallo my friend
I want to ask
Hivi biashara ya bar inalipa dar es salaam?
Nataka kuweka bar dar es salaam
But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza
Sasa sijui kama inalipa vile
Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma. Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.