MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,866
- 28,855
Tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wowote wa kuuza aluminium ikiwa pamoja na uzalishaji wa bidhaa zake kama madirisha, milango, meza, viti nk. Anishauri ili nijitupie humo kwenye hii mambo. Niko Dar es Salaam