Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,274
- 10,092
Duka la mangi unaweza uza boksi zima ndani yamwezi ndio upate faida ya mia 500? Jibu inawezekana na ukipata sehemu yenye mzunguko utafanya vyema zaidisijawahi kuingia wala kufanya biashara... nataka niingie rasmi, nifungue biashara ya duka la Mangi.
mnafanya nibaki njia panda!
Duka la mangi:sijawahi kuingia wala kufanya biashara... nataka niingie rasmi, nifungue biashara ya duka la Mangi.
mnafanya nibaki njia panda!
Pub zote ninazopitia hizo pisi kali unazosema hazikai miezi miwili.Biashara Zina mambo mengi sana hasa ukiwa unafanya biashara za ku build legacy,
Kuanzia Team to suppliers to distributors yaani ni kulala macho tu mpaka mambo yaende
Nashauri kama wewe ni wale watu soft skin usiingie kwenye biashara baki huko huko kwenye ajira au fungua zako pub weka pisi za kwenda basi relax
Niwatakie weekend njema
View attachment 3533933
Kaka unaweza vita ?Biology does matter. Ni kwamba huna mbili tatu za biashara
Biashara ili nitembeza KUTOKA mlandege Hadi bubuu nakurusi kupitia mtoni mess nachapa Hadi kidatu nasonga Hadi AMANI NARUDI mlandege KWA MIGUU JUA Kali mvua acha tu MKUU, all in all MUNGU amuachi MWENYE bidii na maombiKwa kwel,biashara hazihitaji lele mama
Kama ulihudumiwa mahitaji yako na wazazi au serikali( mshahara) ukiwa na umri mpaka wa miaka 25+ automatic wew biashara hautaiweza kamwe
Unazungumzia aina gani ya biasharaKwa kwel,biashara hazihitaji lele mama
Kama ulihudumiwa mahitaji yako na wazazi au serikali( mshahara) ukiwa na umri mpaka wa miaka 25+ automatic wew biashara hautaiweza kamwe
Ila sometimes hutu tumaisha tunatisha sana, nilipokuwa tutoto tudogo nilitamani kuwa tujitu lakini sasa nataka tena niwe to Ili nikwepe maiisha.Maisha Ni Ku explore.
Hata huku makazini nako kuna Tumambo mambo twake.
Muhimu Tukutane sheli tu tukijaza Gari Mafuta.
Biashara za ku build legacy ndio tamu sasaBiashara Zina mambo mengi sana hasa ukiwa unafanya biashara za ku build legacy,
Kuanzia Team to suppliers to distributors yaani ni kulala macho tu mpaka mambo yaende
Nashauri kama wewe ni wale watu soft skin usiingie kwenye biashara baki huko huko kwenye ajira au fungua zako pub weka pisi za kwenda basi relax
Niwatakie weekend njema
View attachment 3533933
Satisfaction. Hiyo ni personal sasa.Sasa hiyo legacy inakusaidia nini?
Ukisema mapema unakua unamaanisha niniIla bana tuseme tu ukweli
Wale waliochungulia fursa mapema now
Wanakula bata.