Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,910
- 5,542
Hahaha
Kuna jamaa yangu hua ananifurahisha akianza kukupa mipango ya biashara anapanga kabisa baada ya miaka 2 hapa mimi ni tajiri. Billa mambo meusi hutoboi...
Lakini Kariakoo wengi wametajirika. Kariakoo kama hujiwezi labda uwe chinga maanake hata bei ya fremu iko juu.Vipi kwa wale waliambiwa wakienda Kariakoo kufanya biashara watatajirika haraka.
HahahahaaaaAhaa haaa mipango mingi. Je baada ya miaka miwili hali yake ikoje mkuuu?
Mambo meusi yapi tena ?
Kila jambo likifanyika kwa moyo na kujituma,mafanikio ni dhahiri!Biashara na kilimo ni vipawa au vipaji kama ilivyo kucheza Mpira au kuimba Muzik.
Hata muziki una Hela ila sio Kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki.
Hakuna sector isiyo na Hela na hakuna sector ni rahisi kupata Hela.
Explore your identity kisha chagua biashara yenye alignment na identify na kipaji chako Kisha kuwa na consistency utafanikiwa.
Wengi mtihani unakuja hapo kwenye self exploration and determination ndio maana ukiambiwa kuuza Nguo Kuna lipa unaenda kuuza Nguo.
Lakini Kariakoo wengi wametajirika. Kariakoo kama hujiwezi labda uwe chinga maanake hata bei ya fremu iko juu.
Uzuri wa ngoma ingia ndani ucheze
Hahahahaaaa
et kwenda kwa mganga akazindike hela zitulie hizi biashara hizi kila mtu anasiri yake... mtu ataishia kukwambia tu juhudi juhudi KUJITUMA TU..
Biashara na kilimo ni vipawa au vipaji kama ilivyo kucheza Mpira au kuimba Muzik.
Hata muziki una Hela ila sio Kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki.
Hakuna sector isiyo na Hela na hakuna sector ni rahisi kupata Hela.
Explore your identity kisha chagua biashara yenye alignment na identify na kipaji chako Kisha kuwa na consistency utafanikiwa.
Wengi mtihani unakuja hapo kwenye self exploration and determination ndio maana ukiambiwa kuuza Nguo Kuna lipa unaenda kuuza Nguo.
4. Masoko na namna ya kuuza bila mtu aitwaye dalali. Huyu ni adui namba moja unatakiwa kujua mbinu zao wanazo tumia kukulaghai.Hii biashara urahisi wake ni kuwa vitu vitatu
1. Shamba lenye maji ya umwagiliaji
2. Zana za kisasa za kilimo
3. Mtaji kiasi
Ukitegemea mvua utakuwa unafanya betting
Agriculture can also be considered a financial liability, as the potential costs and losses may exceed the expected returns, resulting in negative net profitability.