Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,422
- 21,115
Ipi ni biashara inayofaa kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma dar?
Vipi ukifanya hayo kwa kuajiri watu,let say na 5M or 4M nikafungua barber shop,nikaajiri watu wakunifanyia kazi hiyo then perday wakanipa elfu 15 ndani ya miaka 3 huoni kama mtu atapata hela nzuri?,na akimaliza chuo anakuwa na mtaji wakutosha?.mtaji kiasi gani?
unaweza ukanunua printer na photocopy machine ukawa unawatolea copy, unaweza ukawa unakopesha kwa riba
Ila sio vizuri, zingatia masomo yako zaidi maana kwa mazingira ya chuo hakuna muda sana wa kufanya vyote viwili, unaweza ukaishia kufeli na kupata hasara
Vipi ukifanya hayo kwa kuajiri watu,let say na 5M or 4M nikafungua barber shop,nikaajiri watu wakunifanyia kazi hiyo then perday wakanipa elfu 15 ndani ya miaka 3 huoni kama mtu atapata hela nzuri?,na akimaliza chuo anakuwa na mtaji wakutosha?.
Maoni yako muhimu.
1.Baada ya kodi ya awali kuisha atakae lipa ni uliowaajili,maana Siku kama za wikendi hela inayopatikana ni zaidi ya laki na nusu mpaka laki mbili,kwahiyo hela inayopatikana inatosha tu wenyewe kulipia kodi.Kama nimekuelewa vizuri inamaana utakodi chumba,utaweka vifaa muhimu katika hicho chumba mfano vioo, furniture zote, machine ya kunyolea, madawa nk. then utawapa watu waanze kufanya na wakulipe 15000 perday i.e 450000 kwa mwezi. Maswali yafuatayo ni vizuri kujiuliza :-
1. Nani atakuwa analipa kodi kila mwezi baada ya kodi ya awali kuisha
2. Nani atakuwa ananunua madawa na vitendea kazi vingine baada vile vya awali kuisha
3.Nani atakuwa analipia umeme kwa matumizi ya kila siku
4.Nani atawajibika kama machine zitaharibika au vio + furniture kuharibika
Nawakilisha
kaa una huo mtaji na mtu wa kumuamini ni sawa, weka mtu ambaye haitaji ufuatiliaji sana maana masomo na yenyewe yanachanganya vya kutoshaVipi ukifanya hayo kwa kuajiri watu,let say na 5M or 4M nikafungua barber shop,nikaajiri watu wakunifanyia kazi hiyo then perday wakanipa elfu 15 ndani ya miaka 3 huoni kama mtu atapata hela nzuri?,na akimaliza chuo anakuwa na mtaji wakutosha?.
Maoni yako muhimu.
Yea mimi nimeamua nijitoe Muhanga,kama nikipata hasara basi ntakuwa sina namna,maana nilifanya biashara ya mchele ingawa faida ilikuwa nzuri lakini ilinilia muda sana.Sasa nahitaji kitu ambacho hakitakula muda wangu hata nikipata elfu kumi kwa siku itanitosha nikimaliza chuo ntasimamia mwenyewe vizuri.kaa una huo mtaji na mtu wa kumuamini ni sawa, weka mtu ambaye haitaji ufuatiliaji sana maana masomo na yenyewe yanachanganya vya kutosha
mkuu waweza nunua boda boda ukamkabidhi mtu au waweza fungua kibanda cha chips kulingana na maeneo ulipo.Ipi ni biashara inayofaa kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma dar?
mkuu biashara ya mchele naomb idea mkuuYea mimi nimeamua nijitoe Muhanga,kama nikipata hasara basi ntakuwa sina namna,maana nilifanya biashara ya mchele ingawa faida ilikuwa nzuri lakini ilinilia muda sana.Sasa nahitaji kitu ambacho hakitakula muda wangu hata nikipata elfu kumi kwa siku itanitosha nikimaliza chuo ntasimamia mwenyewe vizuri.
bei ya printer na photocopy machine sh ngap mkuu?mtaji kiasi gani?
unaweza ukanunua printer na photocopy machine ukawa unawatolea copy, unaweza ukawa unakopesha kwa riba
Ila sio vizuri, zingatia masomo yako zaidi maana kwa mazingira ya chuo hakuna muda sana wa kufanya vyote viwili, unaweza ukaishia kufeli na kupata hasara
inategemea mkuu kama heavy duty unaweza pata around 400,000 ila ndogondogo unaweza pata hata kwa 120,000 darbei ya printer na photocopy machine sh ngap mkuu?
Mkuu tumia kiswahili utaeleweka kiurahisi zaidinathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee
Ni kusoma kwa bidii.Ipi ni biashara inayofaa kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma dar?
Secret ginius..hehee kwel umemwaga kikristonathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee
inategemea na mtaji wake maana mpaka upate bodaboda ikamilike kila kitu ni si chini ya 2.3 millWaweza nunua boda boda hata mbili kwanza, 'nasikia' hesabu kwa siku ni 5000, sijui 10,000/=
Kwa mtazamo
wangu, I guess hii ni rahisi zaidi.
But tazama moyo wako upo kwenye biashara gani.
- MAGARI7