Biashara ipi ni bomba kwa wanachuo

mtaji kiasi gani?
unaweza ukanunua printer na photocopy machine ukawa unawatolea copy, unaweza ukawa unakopesha kwa riba
Ila sio vizuri, zingatia masomo yako zaidi maana kwa mazingira ya chuo hakuna muda sana wa kufanya vyote viwili, unaweza ukaishia kufeli na kupata hasara
Vipi ukifanya hayo kwa kuajiri watu,let say na 5M or 4M nikafungua barber shop,nikaajiri watu wakunifanyia kazi hiyo then perday wakanipa elfu 15 ndani ya miaka 3 huoni kama mtu atapata hela nzuri?,na akimaliza chuo anakuwa na mtaji wakutosha?.

Maoni yako muhimu.
 
Kama nimekuelewa vizuri inamaana utakodi chumba,utaweka vifaa muhimu katika hicho chumba mfano vioo, furniture zote, machine ya kunyolea, madawa nk. then utawapa watu waanze kufanya na wakulipe 15000 perday i.e 450000 kwa mwezi. Maswali yafuatayo ni vizuri kujiuliza :-
1. Nani atakuwa analipa kodi kila mwezi baada ya kodi ya awali kuisha
2. Nani atakuwa ananunua madawa na vitendea kazi vingine baada vile vya awali kuisha
3.Nani atakuwa analipia umeme kwa matumizi ya kila siku
4.Nani atawajibika kama machine zitaharibika au vio + furniture kuharibika

Nawakilisha

1.Baada ya kodi ya awali kuisha atakae lipa ni uliowaajili,maana Siku kama za wikendi hela inayopatikana ni zaidi ya laki na nusu mpaka laki mbili,kwahiyo hela inayopatikana inatosha tu wenyewe kulipia kodi.

2.Mkuu madawa baada yakuisha watanunua wao kwa sababu ukinunua superblack ya elfu mbili inapaka watu karibia wanne ambapo kwa superblack moja faida unatoa takribani elfu sita,hapo unaosha kucha scrub,ped cure,ile pesa uliyonunulia mwanzo ndio mtaji wakununua mengine.Wewe utahusika zaidi na kununua machine kama zikiharibika na ukinunua mashine mpya kabisa unaweza zitumia miezi sita ndio unazibadili pia pamoja naurniture.

3.Umeme watakuwa wao.
 
Vipi ukifanya hayo kwa kuajiri watu,let say na 5M or 4M nikafungua barber shop,nikaajiri watu wakunifanyia kazi hiyo then perday wakanipa elfu 15 ndani ya miaka 3 huoni kama mtu atapata hela nzuri?,na akimaliza chuo anakuwa na mtaji wakutosha?.

Maoni yako muhimu.
kaa una huo mtaji na mtu wa kumuamini ni sawa, weka mtu ambaye haitaji ufuatiliaji sana maana masomo na yenyewe yanachanganya vya kutosha
 
Yea mimi nimeamua nijitoe Muhanga,kama nikipata hasara basi ntakuwa sina namna,maana nilifanya biashara ya mchele ingawa faida ilikuwa nzuri lakini ilinilia muda sana.Sasa nahitaji kitu ambacho hakitakula muda wangu hata nikipata elfu kumi kwa siku itanitosha nikimaliza chuo ntasimamia mwenyewe vizuri.
 
mkuu biashara ya mchele naomb idea mkuu
 
mtaji kiasi gani?
unaweza ukanunua printer na photocopy machine ukawa unawatolea copy, unaweza ukawa unakopesha kwa riba
Ila sio vizuri, zingatia masomo yako zaidi maana kwa mazingira ya chuo hakuna muda sana wa kufanya vyote viwili, unaweza ukaishia kufeli na kupata hasara
bei ya printer na photocopy machine sh ngap mkuu?
 
nathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee
 
Waweza nunua boda boda hata mbili kwanza, 'nasikia' hesabu kwa siku ni 5000, sijui 10,000/=

Kwa mtazamo
wangu, I guess hii ni rahisi zaidi.

But tazama moyo wako upo kwenye biashara gani.

- MAGARI7
 
Mkuu tumia kiswahili utaeleweka kiurahisi zaidi
 
we mwanafunzi mtaji utaupata wapi out of boom la laki 5?
kwa Dar kazi rahisi isiyohitaji mtaji wako ni udalali tu!
udalali wa nyumba za kupanga, bidhaa za kielectronic nk.
kwa mwanachuo inalipa saana bila hata ya mtaji
 
nathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee
Secret ginius..hehee kwel umemwaga kikristo
 
Waweza nunua boda boda hata mbili kwanza, 'nasikia' hesabu kwa siku ni 5000, sijui 10,000/=

Kwa mtazamo
wangu, I guess hii ni rahisi zaidi.

But tazama moyo wako upo kwenye biashara gani.

- MAGARI7
inategemea na mtaji wake maana mpaka upate bodaboda ikamilike kila kitu ni si chini ya 2.3 mill
 
Back
Top Bottom