Biashara inataka moyo sana

Hahaha! Hii ni comment bora ya siku.
 
mtafute mkinga akupe kinga ya kujikinga na wajinga wa kuwakwaza wenzao{kama unaamini ktk ushirikina],,ngoma ikizidi kukaza tafuta chuo cha biblia usomee uchungaji upige ela za wajinga!!!
 
Biashara ni umiza kichwa ndomana sio kila mtu anapaswa kuwa ni mfanya biashara kwa sababu biashara inahitaji akili kubwa, biashara inahitaji ubadilike kulingana na mda,unauza vipodozi ukiona upepo umechange, unahamia hadi wea,hadi wea ikizingua una hamia kwenye baa baa nayo......sasa wewe unauza kanga miaka kumi,na biashara ilivyo kuna kile kipindi cha kushobokewa na wateja na kipindi cha kupotezewa hivyo jitahidi kipindi kile unashobokewa ubuni na miladi mingine ya kutililisha mifereji ili biashara hii ikiyumba yumba nyingine inaleta maokoto NB tuwe wajanja wa kuendana na wakati kwani kunakipindi wateja nao wanakupotezea,,,nachekaga tu na hawa wamaduka ya dawa anakaaa sehem miaka 5 afu ana hama,hapa dawa nikubadili mifumo tu,
 
 
Haya mawazo ya biashara ndogo ndogo ,ukitaka kuwa mfanya biashara mkubwa lazima ubobee kwenye biashara moja na kupitia hiyo biashara moja uwe nguli kwelikweli ufungue aina nyingine ,mfano mimi nimekuwa nguli kwenye BERBERSHOPS ninazo majiji yote Tanzania , baada ya hapo nikafungua cosmetics maana zina uhusiano na berbershop ,baada ya hapo nimefungua hardware najifunza nimeanza kuuza chuma na cement tu .
 
naweza amini biashara ngumu sana aisee.


mtu kkoo ana frem yenye mtaji 5mil,kodi kwa mwezi 500k,bado umeme,malipo ya msimamizi,nauli nk,ukikaa ukafikiria unaona kabisa kuna kitu hakiki wazi[emoji2][emoji2][emoji2]
We Acha Tu , au wale vijana wa makumbusho pale na vifremu vyao vya pango juu halafu unakuta anauza cover za simu tena unazihesabu kwa mikono ,halafu nje kapaki land cruiser Lexus
Hapo utabaki mdomo wazi
 
Hizo unazozitaka unaweza ukashindwa mtaji.
 
🤣😢
 
Nimekuelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yataka moyo, kweli biashara ni ngumu sana,tuwapongeze waliofanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Kwa kupambana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…