Yote kwa yote usiombe hali hii ikukute ikiwa uliianzisha kwa kukopa hivyo una marejesho kila mwezi..
Unageuka tena hio hio ndio ya kulisha familia, hio hio kodi ya fremu na Pango..
Mteja akija asiponunua unaweza umkunje shati humo humo dukani.
😂biashara inahitaji uvumilivuYote kwa yote usiombe hali hii ikukute ikiwa uliianzisha kwa kukopa hivyo una marejesho kila mwezi..
Unageuka tena hio hio ndio ya kulisha familia, hio hio kodi ya fremu na Pango..
Lazima upate moto, mteja akija asiponunua unaweza umkunje shati humo humo dukani.
Kwa ambae hajawai kuwa na biashara hawezi elewa kwanini mtu ana duka kubwa ila mchana kikapu cha msosi kinakuja kutoka home.Ndo maana wafanyabiashara welio wengi, chakula kinaletwa Toka nyumbani!Ili asiharibu droo ya hela kwa kununua hotelini
Sio rafiki kivipi Mbona baadhi ya wafanyabiashara wanapiga pesa ndefu,kupitia biashara hizohizo?Mazingira ya biashara sio rafiki sana nchi hii
Tulia wewe ,hujui kituSio rafiki kivipi Mbona baadhi ya wafanyabiashara wanapiga pesa ndefu,kupitia biashara hizohizo?
Pia hamna jipya mkuu.Mazingira ya biashara sio rafiki sana nchi hii
Tunashindwa kubuni Kitu kipya .. Sasa tupo kumi tunauza bidhaa Zinazofanana Kwa Nini mazingira yasiwe mabovu..Pia hamna jipya mkuu.
Uchumi wa fremu yaani, kila mtu wazo lake ni kukodi fremu auze bidhaa/huduma fulani. Kuna nini?