Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Uuwiiii reincarnation ya Ras simba
ni mwanzo mzuri
Aaaamen mkuu tufurahi pamojaAhaaa asante kunipunguzia stress nimecheka sana.
Yaan jf ikifungwa nitakufa ndani ya wiki moja jf ndo mtu wangu wa karibu,
jf inanibembeleza nalala, nikikosa usingizi jf ndo kimbilio
Alaaniwe aliyeomba malaika ashuke kuifunga.