Biashara Goma

Mi ninavyojua ukiwa na passport au konali cha muda wanachofanya wanakugongea muuhuri. EAC hatutumii visa jamani. Mi nishafika bujumbura na kigali tena enzi hizo nilikuwa natumia vibali vya muda. Ila kumbuka kuchanja yello fivor.

huo muhuri ndio visa yenyewe. kibali unachopewa kuingia nchi fulani na muda utakaokaa
 
Mkuu, one million for a week? Anaenda kutalii?...kwanza wiki nzima ya nini kwani Goma mji si mkubwa wa kumsumbua, 4 days na laki 6 zinatosha sana bana!
Sasa unambishia nini wakati wewe gharama zako ndio zipo juu

600k = 4days Ni sawa na 150k = 1day

Yeye 1m = 7days Ni sawa na 143k = 1day

Hyo n flat rate kumbuka na unapokaa sehemu kudadisi Biashara kadri siku zinavyokuwa nyingi ndio unatumia zaidi.

All in all vp habari ya Goma pia lubumbashi naskia usipime
 
Ni lazima upite Rwanda ili kufika Goma
Screenshot_20220818-111413.png
 

Attachments

  • Screenshot_20220818-111413.png
    Screenshot_20220818-111413.png
    107.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom