Biashara Goma

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070

kama uko Dar chukua bus ( sumry) adi Bukoba 60,000 tsh kisha chukua bus adi kampala ( bukoba adi kampala ni kama km 300 nauli 15,000 tzsh.

kisha kampala chukua bus ( horizon bus) utoka saa 1 jioni na ufika Goma congo saa 4 asubuh. bus upitia rwanda naul ni kuanzia 20,000 tsh.

au chukua bus za rwanda kisha goma congo.
 
s02tz

Member
Dec 16, 2013
34
0
Je ni kweli kuna biashara maana mim pia nilitaka kwenda kuchungulia nimeambiwa huko mambo ni mazur ukipeleka vyakula kama unga, chumvi n.k alimradi ni bidhaa za cyakula naskia biashara huko imekaa vyema
 
Balacuda

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,390
2,000
Je ni kweli kuna biashara maana mim pia nilitaka kwenda kuchungulia nimeambiwa huko mambo ni mazur ukipeleka vyakula kama unga, chumvi n.k alimradi ni bidhaa za cyakula naskia biashara huko imekaa vyema

tafuta milioni zako mbili au tatu nenda mzima mzima ukafanye research mwenyewe, utapata network za kutosha kabla hata ya kuja kuchukua mzigo na istoshe to the minimum milioni moja itatosha kwenda na kukaa wiki moja kwa uchache na kufanya utafiti wenye mafanikio makubwa, wabongo wapo kuna jamaa yangu uko jeshini alikuwa ananipa habari, future iko nje nje kule
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358

Mkuu, one million for a week? Anaenda kutalii?...kwanza wiki nzima ya nini kwani Goma mji si mkubwa wa kumsumbua, 4 days na laki 6 zinatosha sana bana!
 
bizmak

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
389
0
Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
Nenda ukachungulie lakini kuwa makini. Pitia kigali panda bus la tawfiq ukifika kigali utapanda bus la gisenyi borda hapo ndio borda ya Ruanda na Goma. Angalia sana watu wa Ruanda wengi hawawapendi watz
 
s02tz

Member
Dec 16, 2013
34
0
Je wapo watanzania wanaofanya kazi au biashara eneo hilo,? Ninauzoefu kidogo katka mji wa lilongwe malawi kule watanzania wapo wa kutosha hadi wakulima wa karanga wapo huko hivyo kwasisi waganga njaa ukifika hapo lazma utakuta mtanzania anazagaa maeneo ndio nauliza je eneo hilo wapo watanzania?
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
Je wapo watanzania wanaofanya kazi au biashara eneo hilo,? Ninauzoefu kidogo katka mji wa lilongwe malawi kule watanzania wapo wa kutosha hadi wakulima wa karanga wapo huko hivyo kwasisi waganga njaa ukifika hapo lazma utakuta mtanzania anazagaa maeneo ndio nauliza je eneo hilo wapo watanzania?

Nimesikia kuwa watz wapo kibao tu. Nataka nifike mwenyewr no matter what! Hofu yangu ni boda ya Rwanda, hawa jamaa nasikia wanatuchukia sana.
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
Nenda ukachungulie lakini kuwa makini. Pitia kigali panda bus la tawfiq ukifika kigali utapanda bus la gisenyi borda hapo ndio borda ya Ruanda na Goma. Angalia sana watu wa Ruanda wengi hawawapendi watz

Ni mbinu gani wanayotumia watz kupita Gisenyi bila matatizo? Vipi hakuna njia ya kuepuka kupita Rwanda?
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
kama uko Dar chukua bus ( sumry) adi Bukoba 60,000 tsh kisha chukua bus adi kampala ( bukoba adi kampala ni kama km 300 nauli 15,000 tzsh.

kisha kampala chukua bus ( horizon bus) utoka saa 1 jioni na ufika Goma congo saa 4 asubuh. bus upitia rwanda naul ni kuanzia 20,000 tsh.

au chukua bus za rwanda kisha goma congo.

Mkuu vipi usumbufu mipakani? Suala la vibali limekaaje? Kuna maeneo mengine yafaayo kutembelea mbali na Goma?
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Mkuu vipi usumbufu mipakani? Suala la vibali limekaaje? Kuna maeneo mengine yafaayo kutembelea mbali na Goma?

hakuna usumbufu wowote,cha muhimu kuwa na passport tu,wanaokwambia kuna usumbufu hawajafika wanahisi tu au kusikia,mi nakuhakikishia asilimia 100 hakuna usumbufu wowote ukiwa na passport
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
hakuna usumbufu wowote,cha muhimu kuwa na passport tu,wanaokwambia kuna usumbufu hawajafika wanahisi tu au kusikia,mi nakuhakikishia asilimia 100 hakuna usumbufu wowote ukiwa na passport

Asante mkuu nimekusoma vema.
 
msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,832
2,000
visa je unachukua ubalozi hapa au unaipata kulekule na kiasi gani ,, maana mimi tayari nisavutiwa kwenda huko insha Allah
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Swali dogo:

Toka Tz nitapita Rwanda ndio niingie DRC. Vipi kuhusu kupita Rwanda, suala la visa limekaaje? Na pia pesa ipi inayotumika kwa biashara?

nchi 5 za afrika mashariki ukiingia ni bure ulipii visa,watakuuliza tu unakaa muda gani sema kutembea,na unagongewa visa,nchi hizo ni Uganda,kenya,tanzania,rwanda na burundi.

kuhusu matumizi ya pesa,unabadilisha pesa kulingana na nchi uliyopo,pia mpaka wa Rwanda na tanzania upo Rusumo mkoani kagera
 
diwan

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
308
195

Mi ninavyojua ukiwa na passport au konali cha muda wanachofanya wanakugongea muuhuri. EAC hatutumii visa jamani. Mi nishafika bujumbura na kigali tena enzi hizo nilikuwa natumia vibali vya muda. Ila kumbuka kuchanja yello fivor.
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,546
2,000
Ndg mleta mada hilo ni Wazo zuri kwenda kuangalia Fulsa mahari pengine lengo ni kuboresha MAISHA unajua %kubwa waTZ wengine tunalidhika na maisha ya hapa Bongo! Nenda kisha uje utupatie Mrejesho! huenda ukasaidia wengi! Khs huko GOMA kuna rafiki yangu 1 mGANDA aliwahi kunambia kwamba huko Biashara ya vyakula km VIAZI nk ni bz nzuri sana! alichonambia ukiwa na Mzigo ukikutana na waJEDA hawana neno ukiwa viDOLA kdg unawapoza wee unasonga2 Wanasema % kubwa huko wana2mia US DOLA.kila la kheri ndg!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom