Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

De Professor

JF-Expert Member
May 21, 2021
206
395
Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu.

Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya watu waliofanya vitu tofauti tofauti iwe ni Biashara au aina yeyote ya kitu kinachoweza kutengeneza Pesa kwa muda mfupi return ya kuanzia week 1. Ili basi aliye muajiriwa ila anao mtaji asisite kuwekeza na kuzungusha pesa. Aliye na Mtaji ila hajui afanye nini na yeye apate kitu cha kufanya na Asiekuwa na Mtaji ila anatamani kuja kufanya jambo walau ajue nini ataenda kufanya.

#1. Wazo langu la kwanza Biashara ya Mayai hasa ya kisasa ukipata sehemu yenye mzunguko mkubwa kama wauzaji wa chips na vibanda vingi wakaweka order zao ni rahisi wewe kuchukua mzigo na kupeleka sehemu husika ndani ya week 1 ukawa umeshapata return ya pesa yako.

Angalizo: Shughuli za uwekezaji kama Bitcoin, Forex, Alliance, Forever living na wengine wa Network Marketing usizilete, sizipingi ila tu sio mahali pake hapa Asanteni.
 
Uza unga ndani ya wiki utapata litani ,but na huwa ndo Maisha ya mwendo kasi kupenda mafanikio ya haraka pia kuna kuuza mwili dubai na nch za kiarabu mapema tu mafanikio, but natania tu mkuu .
 
Back
Top Bottom