Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 7,864 Reaction score 18,422 Jun 23, 2025 #21 captain zaka said: Duhh pole sana , Location changamto sana kweny real estate Click to expand... Location ndio mchawi wa BIASHARA ZOTEEEE... #YNWA #YANGA_BINGWA
captain zaka said: Duhh pole sana , Location changamto sana kweny real estate Click to expand... Location ndio mchawi wa BIASHARA ZOTEEEE... #YNWA #YANGA_BINGWA
chamkononi Member Joined Sep 3, 2021 Posts 43 Reaction score 45 Jun 23, 2025 #22 Biashara ya nguruwe, unanunua hai unaende uzia wachinjaji shida kwenye makadilio... Unaweza kadilia kilo 50 mwisho wa siku dude linatoa kilo 35.
Biashara ya nguruwe, unanunua hai unaende uzia wachinjaji shida kwenye makadilio... Unaweza kadilia kilo 50 mwisho wa siku dude linatoa kilo 35.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,054 Reaction score 22,081 Jul 2, 2025 #23 chamkononi said: Biashara ya nguruwe, unanunua hai unaende uzia wachinjaji shida kwenye makadilio... Unaweza kadilia kilo 50 mwisho wa siku dude linatoa kilo 35. Click to expand... Sorry hii kwa wapi sana inafanyika. Kazi ni kipimo cha utu
chamkononi said: Biashara ya nguruwe, unanunua hai unaende uzia wachinjaji shida kwenye makadilio... Unaweza kadilia kilo 50 mwisho wa siku dude linatoa kilo 35. Click to expand... Sorry hii kwa wapi sana inafanyika. Kazi ni kipimo cha utu