Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

Mimi nilifanya real estate , niliambiwa fremu zinalipa na guest, kumbe nilikuwa hasara, nahisi location ilikuwa mbaya. Fremu 10, mteja mmoja na bei anapanga yeye, guest wateja ni shortime wabkukulana , Tena unaweza pata 4 mwezi mzima. Hapa mikopo inanihemea
 
Location ndio kipengele usirudie.
 
Biashara ya Urembo, mkewangu alinishawishi sana biashara ya vitu vya urembo akasema vinalipa sana, na akitolea mfano wa wenzake wanaofanya hiyo biashara wanaonekana wana mafanikio basi nikashindwa kumpinga, nikaweka mtaji kama mil3.5 hivi ila karibu mwaka sasa sioni muelekeo wa hiyo biashara na site iko pazuri
 
Duhh pole sana , Location changamto sana kweny real estate
 
ase pole sana kiongoz , Una hakika strategy wanazotumia ni sawa na zako??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…