Nijosnotes
Member
- Aug 1, 2021
- 97
- 99
Habari wakuu,
Na hii ndio biashara yangu kukusogezea kitabu chenye biashara 99 za facebook. Nina ujuzi wakuendesha biashara mtandaoni hasa kwenye majukwaa kama Facebook na Instagram.
Hiki kinakuwa kitabu cha tatu kwangu kuandika. Na kwa msaada wa Akili Mnemba imenirahisishia kazi kubwa ya kuandika kitabu hiki.
Tupo katika mapambano ya kutafuta vyanzo vingi vya mapato, mimi nimeongeza hiki cha uandishi wa vitabuu vya kidigitali na kuuza, pia huduma za kufundusha digital skills nazokua naandika kwenye vitabu vyangu.
Nakukaribisha kusoma kwa muhutasari kitabu hiki cha "99 Bihashara rahisi za kufanya Facebook" .
Ukihitaji kitabu kamili basi utabofya link ya whasapp ndani ya kitabu hiki, kisha nitakutumia kitabu kamili kwa malipo ya Tsh. 3,000 tu.
Karibu Sana!