Bia na bisi

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Wakulungwa!

Hii huwa sielewi, kuna chemistry gani kati ya bia na bisi, ?

Maana huwa nikifika tu bar, utakuta mdada mrembo,ananiletea bisi, baada ya kuagiza vyombo.

Au ndio yale yale, siku hiz watu huwa nawaona wanakula mihogo na dagaa..

Huyu Chief cooker, anaye design hivi chakula , itabid tumjue.

IMG_3156.jpg
 
Huwa kuna ka flavour flani inaleta. Sehem nyingi saivi kwenye bar wanauza bisi.
 
Mimi nagonga bia na uji fresh tu.... ukiwa mnywaji hakuna fomula wee piga bia ukija uji gonga kama kawaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom