Bia ime panda bei?

Bia ime panda bei?

Hii ni starehe ipande hata ikiuzwa elfu10 watakunywa pesa ya bia sio mshahara na dili zote ziko huko hivi Samaki Samaki bia bei gani? Mbona Wateja hawapungui na anazidi kuongeza matawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni habari za kweli kabisa

Jr[emoji769]
Bora MTU wangu Wa karibu apige hizi kubwa
IMG-20180901-WA0055.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilizoea kupiga zangu safari ndogo kwa 1,500 tu nikiwa na kumi yangu napiga sita na chenji napata ila sasa hivi imebidi niirudie chui chui yangu ya zamani kwa buku mbili tu, dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni starehe ipande hata ikiuzwa elfu10 watakunywa pesa ya bia sio mshahara na dili zote ziko huko hivi Samaki Samaki bia bei gani? Mbona Wateja hawapungui na anazidi kuongeza matawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana we nilienda pale nikapiga serengeti kubwa nne fasta nikijua labda buku tatu so itakua 12,000 mweeeeeeeeh naulizia bili naletewa 20,000 yaan bia moja ni 5,000... Sasa kama kwingine zimepanda kule si itakua 6,000 now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapanga kutoka leoo...sasa uzi huu wa bia unanletea kuwashwawashwa..
 
Write your reply...Tuliambiwa itakua buku sasa hivi imepanda tena?huu ni uonevu dadadeki.
 
Back
Top Bottom