Unafikri pombe itakuongezea nini katika maisha yako?Wadau mambo vipi?
Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa nahofia nisije nikavua nguo au nikatukana watu.
Naomba ushauri ni bia gani inafaa kwa biginers na inywewe kwa kiwango gani ili nisilewe kupitiliza na ambayo kidogo ni tamu au kama kuna wine tam tam na ambayo siyo kali nielewesheni.
Wakuu ahsanteni
Naimani kunywa pombe sio vibaya ila cha msingi ni kuwa na kiasi so mtu yoyote asini crash.
Ngoja nifuate ushauri huuAsante kwa swali murua kama hili ndugu yangu.
Kwanza nikukaribishe kwenye chama chetu naamini utafurahi maisha yako yote ukiwa chamani.
Kwa historia fupi mimi nilianza kunywa pombe nikiwa mdogo saana... wengine tumekulia matejoo maza mama muuza basi sisi watoto wa matejoo ukililia pipi unamiminiwa gongoo/piwa kidogo kwenye baby cup yako unatulia.
Sasa bwana ukitaka uanze pombe wewe anza kujichanganya na wanywaji... wakiagiza bia wewe itisha pepsi au maji kisha omba glass wakumiminie kidogo kumbuka mlevi kukugawia pombe yake inahitaji ushawishi ila ukiwaelewesha unataka uchukue kadi upo intern watakupatia.
Kidogo kidogo utazoea..anza na nusu bia bia moja mbili...safari moja huanzisha nyingine. Usije ukaparamia nyagi valuuu wala gongo wewe anza na bia.
Asprin atajazia nyama palipo na mfupa.
Mkuu nimeipenda hiyo inapatikana wapi au ni mafinga tu?
Hii itakufaa zaidi mkuu
Kama hutumii pombe endelea hivyohivyoWadau mambo vipi?
Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa nahofia nisije nikavua nguo au nikatukana watu.
Naomba ushauri ni bia gani inafaa kwa biginers na inywewe kwa kiwango gani ili nisilewe kupitiliza na ambayo kidogo ni tamu au kama kuna wine tam tam na ambayo siyo kali nielewesheni.
Wakuu ahsanteni
Naimani kunywa pombe sio vibaya ila cha msingi ni kuwa na kiasi so mtu yoyote asini crash.
we kichaa kweli..watu wanaomba ushauri wa kufaulu maisha, we unaomba ulevi..nonsenseWadau mambo vipi?
Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa nahofia nisije nikavua nguo au nikatukana watu.
Naomba ushauri ni bia gani inafaa kwa biginers na inywewe kwa kiwango gani ili nisilewe kupitiliza na ambayo kidogo ni tamu au kama kuna wine tam tam na ambayo siyo kali nielewesheni.
Wakuu ahsanteni
Naimani kunywa pombe sio vibaya ila cha msingi ni kuwa na kiasi so mtu yoyote asini crash.
imeandikwa "mpe maskini pombe asahau shida zake"Nani kakwambia kunywa pombe sio vibaya wewe.
Kunywa mtumishi kunywa, imeandikwa masikini tunywe tusahau shida zetu....
Hahahah we in mwehu kweli.......Asante kwa swali murua kama hili ndugu yangu.
Kwanza nikukaribishe kwenye chama chetu naamini utafurahi maisha yako yote ukiwa chamani.
Kwa historia fupi mimi nilianza kunywa pombe nikiwa mdogo saana... wengine tumekulia matejoo maza mama muuza basi sisi watoto wa matejoo ukililia pipi unamiminiwa gongoo/piwa kidogo kwenye baby cup yako unatulia.
Sasa bwana ukitaka uanze pombe wewe anza kujichanganya na wanywaji... wakiagiza bia wewe itisha pepsi au maji kisha omba glass wakumiminie kidogo kumbuka mlevi kukugawia pombe yake inahitaji ushawishi ila ukiwaelewesha unataka uchukue kadi upo intern watakupatia.
Kidogo kidogo utazoea..anza na nusu bia bia moja mbili...safari moja huanzisha nyingine. Usije ukaparamia nyagi valuuu wala gongo wewe anza na bia.
Asprin atajazia nyama palipo na mfupa.
hivi ilikuwa nini hii.Hahahah we in mwehu kweli.......