Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

Anza na za kienyeji kwanza kama vile, komoni,ulanzi, kangala, mnazi, pingu, ndo uje huku
 
Me nilianza na viroba ,then castle lite au Serengeti ,now natumia safari laga ,,


Nb:mwanaume usipokuwa mlevi wa pombe au sigara ,basi utakuwa mlevi wa wanawake ambao ni hatari zaid
 
hahahaha nakushangaa unambwela mbwela hom !mie nitakunyw tu !sijannywa toka siku ile ujue na ww !teh
Duh wewe kiboko tangu siku ile? Mi uzalendo umenishinda nimeagiza kinywaji nashusha taratiiibbb, na hili joto lenu mmh patanishinda!
 
Kaa mbali na laana hiyo, haina faida ila ni hasara tupu ya kiafya, kijamii na kiuchumi.
 
Ishinde tamaa epuka ulevi..iga yaliyo na faida juu yako epuka yenye madhara
 
Beer raha kunjwaa mdogo mdogo tuuh ukizoea utojuta utapata marafiki kibao,madili mjini ,warembo yani raha tupu
Anza na Lite yoyote then unakaa pande zip kama upo dar tunaweza cheza kiwanja kimoja
 
Back
Top Bottom