Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

poa poa kk
Wenzio tunaacha wewe ndiyo kwanza unachukua form za ulevi.Angalia upepo wa maisha unywaji wa pombe siku hizi sio deal
kunywa bia ni swala moja na kuwa mlevi na swala jingine coz hata ndugu zangu wanakunywa lkn bado hawajafikia kuitwa walevi
 
Nakushauri kwanza kabisa mkatae huyo ibilisi anaekupa wazo la kuanza kunywa pombe. Pombe sio asee na sitakaa nimshauri mtu anywe pombe kama hajawahi.


Kuna siku nilikula mtungi sangapi nisitoke nje uchi? Bahati nzuri nyumba ina fence na ilikua night, siku nyingine nimekojoa kitandani bwana kisa pombe, nimeota usiku kuwa nipo bar na marafiki zangu bwana nikaamka kwenda toilet, daah kilichotokea nashtuka nishashusha nusu lita.

Siku nyingine nimepigana kwenye ugomvi wa pombe nilikula kichapo mbaya mpaka saivi sikio langu linaumaga kisa hicho kichapo. Siku nyingine nimeleta ambush nyumbani nawa mind mshua na maza kama watoto yani dah, nilikuja kujiona mpuuzi sana. Siku nyingine nilijikuta nagonga manzi mmoja malaya mbayaaa, nilijuta kesho yake.

Hebu ona sasa madhara ya pombe! Je kuna haja gani ya mtu kunywa kama hujawahi? Achana kabisa na mawazo hayo, utaanza taratibu mwishoni utakua mbobezi alafu siku ukiwa huna hela utatafuta hata gongo. Siku hizi huwa napumzika mda siku nikiwa na hamu nakamata mbili tatu nalala.

Usinywe pombe mkuu
pa1 mkuu
 
Mimi siwezi kukushairi kutumia pombe sababu si kitu cha lazima saana. Pili Maisha yenyewe haya ni kilevi TOSHA ndugu. Tuliza nafsi utengeneze maisha bora kwa faida ya familia yako.
 
Kuna bia mpya ya eagle ya chupa kubwa ya lebo ya blue bahari kilevi chake nadhani ni kati ya 2.5-3.5% ipo kama maji kabisa....nakushauri anza na hiyo.
 
Wadau mambo vipi?

Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa nahofia nisije nikavua nguo au nikatukana watu.

Naomba ushauri ni bia gani inafaa kwa biginers na inywewe kwa kiwango gani ili nisilewe kupitiliza na ambayo kidogo ni tamu au kama kuna wine tam tam na ambayo siyo kali nielewesheni.

Wakuu ahsanteni

Naimani kunywa pombe sio vibaya ila cha msingi ni kuwa na kiasi so mtu yoyote asini crash.


Tusker light
 
Km una jirani yako mrombo, ungemuuliza kwa upooooolee, atakuelwesha huwa wanaanza na kipimo gani
 
Mi nikionaga mwanaume anakunywa st Anna au Savannah asee namshangaaga mnoo..

Sijui namuonaje? Kama kalegea viiile

sure !ndo maana nahis ni kukariri tu !au zimeandikwa jinsia?? lakini sidhan !kuna wmingine niliwah muona anakunywa redds nilichoka
 
Back
Top Bottom