Bia Balimi "extra lager" ndogo dawa ya kuchelewa kukojoa

Bia Balimi "extra lager" ndogo dawa ya kuchelewa kukojoa

Fanya mazoezi kila kitu kiko humo, acha katafuta mchawi wa tatizo lako
 
Nguvu ya balimi wakati wa sex ni kama nguvu anazopata kuku wakati wa kuchinjwa, mwanzoni unapata nguvu nyingi sana lakini after short time unatepeta kabisa.

Sent from my Huawei mate 9
we umeshatmia balimi?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kabla hii research ulikuwa unarusha wazungu baada ya dakika moja, Chief? Ulijuaje kuhusu hii "mbinu", au uliidondokea tu by chance?
 
Naomba watengenezaji wa Balimi waongeze production..

Hii promotion ni kubwa kuliko.
 
Naona dalili za mauzo ya balimi kupanda maradufu.
 
Back
Top Bottom